Viwanja vya ndege vinapokosa hata magari ya kuvuta ndege | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vya ndege vinapokosa hata magari ya kuvuta ndege

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Jan 9, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ehhe maskini mume wangu!!! ameniaga anaenda kazini kumbe ana sukuma dege lol!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwa watu wasiojua mambo ya ndege na viwanjani huenda hii ikaonekana ni jambo la ajabu.
  Lakini , ndugu mleta mada, hii ni kitu ya kawaida sana, yaani wanaojua wanakushangaa uliyeleta picha hiyo!

  Kusukuma ndege kwa gari(trekta maalum) kunahitaji kuwa na kitu inaitwa tow-bar, ambapo kila ndege huwa na ya aina yeke, na ni chombo kizito kiasi hakipakiwi kwenye ndege kwa safari za kawaida...na kwa sababu hiyo si ndege zote zinakuwa nacho hicho kifaa.

  Hiyo ndege unayoiona inasukumwa ni ndege ndogo aina ya PC-12 na hakuna sababu ya kukodi towing equipment kuivuta, inasukumwa na watu kawaida tu, wala hakuna la ajabu!
  Kwa ndege kubwa na medium size huwa kusukuma kwa nguvu za watu haiwezekani kabisa, maana hata mwili (body) wa ndege wenyewe huwa juu ya kichwa cha binadamu.

  Kwenye viwanja, ukitaka huduma ya tow bar inalipiwa, ukitaka towing vehicle inalipiwa, ukitaka kigogo cha ndege(chox) kinalipiwa, tena kila kitu kwa US$, si mchezo hata kidogo.
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Asante kwa maelezo mazuri, ila kwa kawaida viwanja vya kiwango huwa na vifaa vyote muhimu, na ni kosa la kuvunja sheria za usalama kwenye viwanja vya ndege binadamu kusukuma ndege, labda kwa bongo tumehalalisha kutokana na hali ya ukata usioepukika kwa sasa.

  Nilishangaa mara moja ndege ilipokwama kwenye tope uwanja wa kimataifa wa jiji la Tabora ikiwa kwenye njia yake ya kurukia wakati ipo katika kujiandaa take off. Bahati ilikuwa ile Folker ambayo haiko juu sana, tulishindwa hadi kuita greda kuja kuvuta ndipo tukaondoka baada ya kusota muda usiopungua 3 hours.
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Duh!! Hii kweli ni fedheha
   
 6. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  jairo karudi offisini
   
 7. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Pole sana Laura,ndo kazi yake hiyo!Mmeo hana tofauti na yule aliyemsukuma Jairo!Masaburi njenje!
   
 8. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Hii Ndege ni ya Jairo nini?
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Mambo ya Jairo hayo.
   
Loading...