bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Habari wanajamvi?
Mtakubaliana na mie kwamba,kati ya sehemu nyeti kwa issue za usalama ni pamoja na viwanja vya ndege vya kimataifa.
Kuna tabia naona hua haipigiwi kelele na wengi ama kwa kutokujua au kuchukulia poa.
Wafanyakazi wa ukaguzi wa mabegi ni "wezi" wanaotumia akili kukuchukulia mali yako huku unajiona.Si mara moja wala mbili wanasema ukiwa na kimiminika kisizidi 100ml mie nakubali tena jambo zuri.
LAKINI...
Ukipitisha mzigo wako kwa scanning machine wakiona pafyumu au body spray imezidi huo ujazo WANACHUKUA.
My take
Hebu mjue customer care kwa wateja maana si wote wanaojua aviation rules n regulations sasa mkiwa kama mamlaka hebu elimisheni UMMA.
Lakini pia najiuliza tu,mfano leo nkienda kiwanjani kuulizia walivyochukua je,nitavipata?au ndo kiendacho kwa mganga?
Nawashauri mtoe elimu juu ya haki za mteja maana kiuhalisia nasafiri halafu pafyum ya laki3 naiacha,ofcz moyo unauma lakini inabidi nipotezee.