Tukupe vya mkoa gani sasaHabarini wadau,
Hebu tupeane maujanja ya viwanja vya kuburudika baada kazi ama wikiendi kama hizi. Nimekaa hapa kila kiwanja nahisi nimeshapita.
Nimekuelewa vizuri nowIli ufurahie maisha na ujione wa thamani nenda kiwanja chenye watu wengi na wastaarabu.....
Mkoa gani mkuuNipe Jina mstaarabu mwenzangu
😂 😂 😂 😂 😂Nenda temeke sudani kwenye ule uchochoro wa wahaya.
ha ha ha ha ki vipi mkuuNime
Nimekuelewa vizuri now
Siri yanguha ha ha ha ki vipi mkuu
Halafu wewe si ndio umekaa hapo kwenye hiyo meza ya watu wanne?Siri yangu
Ha ha haaa, noope!Halafu wewe si ndio umekaa hapo kwenye hiyo meza ya watu wanne?
ha ha ha ha nakuona unacheka kweli hadi unajimwagia kinywaji...Ha ha haaa, noope!
Ha ha haaa,afu nipo kwa bed sasaha ha ha ha nakuona unacheka kweli hadi unajimwagia kinywaji...
Itakuwa hajamaanisha kinywaji, kamaanisha kilainishi.Ha ha haaa,afu nipo kwa bed sasa
ha ha ha basi ninayemuona pale atakuwa ni mzimu wa 'to yeye'Ha ha haaa,afu nipo kwa bed sasa
Hakika yanha ha ha basi ninayemuona pale atakuwa ni mzimu wa 'to yeye'
Ha ha haaa,ivi kumbe ee! Ha ha haaa,aiseeItakuwa hajamaanisha kinywaji, kamaanisha kilainishi.
Baada ya dakika 5 nitajongea hiyo meza mkuuHakika yan