Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

Wadau wa Jamvi ili KARIBU tuendelee kulijenga taifa letu.
VIWANJA NI MILIONI 13 MPAKA 12 (UKUBWA NI 20X20) kwa vile site ni mpya hata kama unataka eneo kubwa ubaweza pata kwa kuunganisha VIWANJA zaidi ya kimoja..(na majadiliano yatakuwepo)

Tumekuwa tukiuza viwanja maeneo mbali mbali ya jiji LA dar es salaam kwa muda Sasa.

Hapa tuna site mpya yenye VIWANJA vizuri kabisa "low desinty na vilivyopimwa.

Nakuwekea mchoro uchague mwenyewe wapi unataka..

Kwa wanaofuatilia post zangu za uuzwaji wa VIWANJA watakubaliana na Mimi kwamba biashara yetu ni ya uhakika isiyo na chembe ya mashaka(wapo wengi hapa jamvini tuliowauzia VIWANJA wanaweza kuwa mashuhuda.

Wakati wowote njoo upelekwe uvione..

Wasiliana nasi kwa direct call/whatsapp +255762466293 & 0784355775 - Mr Mbungi.
 

Attachments

  • SURVEY PLAN DOC.pdf
    131.8 KB · Views: 18
Karibu tulijenge taifa pamoja

Tuna viwanja vizuri kabisa, maeneo ya Kerege -CCM ( mita 900 tu kutoka barabara ya lami inayoelekea bagamoyo." Mkono wa kushoto"

Viwanja vipo kwenye mtindo wa plot za 20X20, na eneo lipo kwenye hatua za urasmishaji .Ukitaka eneo kubwa unaweza kuunganisha viwanja.
"
Huduma zote za jamii zimefika(umeme na maji).

BEI YAKE NI MILIONI 4TU!!.

Mwenye kuhitaji tuwasiliane 0784355775- Mr Mbungi.

Karibuni.


IMG_20201126_143739.jpg
 
Kwa yeyote mwenye Pesa mkononi aje nimuuzie kiwanja kizuri 20X20 maeneo ya Msigani( ukitokea barabara ya scout-flamingo,( madale)

Milioni 4 na nusu
Nina dharura ya kutatua Kwa haraka ndiyo maana nakiachia Kwa Bei hiyo.

Sitaki madalali...

WASILIANA. Na Mimi moja Kwa moja 0784355775)
 
Wapendwa Wana jamvi. KARIBU tuijenge TANZANIA pamoja.

Tuna plot mpya ya viwanja maeneo mazuri ya KEREGE- CCM) bagamoyo.

Kwa wanao ifahamu Kerege-ccm Kuna barabara ya "Nyakahamba inayotokea hapo Kerege kuelekea mpaka kibaha"

Ni kilometa moja Na nusu(1.5KM) kutoka Kerege CCM..barabara imechongwa kiwango cha changarawe.

Viwanja/plots vipo barabarani kama mnavyoona kwenye picha( eneo ni tambarare Na limetulia kabisa.

BEI NI MILLION TANO TU, KWA 20X20 = 400sqm ( ukitaka eneo kubwa unaweza kuunganisha viwanja (tuna heka4 za plots.

Eneo ni potential Sana (Maji na umeme vyote vipo).

Tuwasiliane Kwa namba HII 0784355775- Mr Mbungi

Utapelekwa kuona viwanja siku yoyote a

KARIBU.
 
Karibu tukuuzie kiwanja Kizuri kabisa.

BEI MILLION28 na maongezi yapo.

Ukitoka madale mwisho barabara inayoenda Mbopo mbele Kuna njia panda ya kuelekea Msumi..

Kina ukubwa wa 20M X 40M (yaan sqm800)

Ni eneo potential Sana na kiwanja kimekaa vizuri" Maeneo yamepiimwa na bicon zishapandwa.

Wasiliana nami 0784355775
 
Karibu tukuuzie kiwanja Kizuri kabisa.
BEI MILLION28 na maongezi yapo.

Ukitoka madale mwisho barabara inayoenda Mbopo mbele Kuna njia panda ya kuelekea Msumi..

Kina ukubwa wa 20M X 40M (yaan sqm800)

Ni eneo potential Sana na kiwanja kimekaa vizuri" Maeneo yamepiimwa na bicon zishapandwa.

Wasiliana nami 078435577

Najaribu kuweka picha inakataa.

I'll nitaendelea kunaribu kwenye reply
To
IMG-20220328-WA0000.jpg
 
Madale viwanja vimepanda sana. Enzi hizo vilikuwa mil 2. Ngoja nianze kununua Kibaha
 
Hizi ni plot mpya kabisa katika eneo la Msigani- nyakasangwe( yote hii ilikuwa madale kabla haijagawanywa hivi karibuni).

Hivi tunauza kwa sqm moja elf30,000/ unaweza kununua eneo dogo, au kubwa upendavyo kulingana uwezo wa mfuko wako.
Karibu tuijenge nchi pamoja.

Mawasiliano +255784355775 - Mr MBUNGI

IMG-20220321-WA0036.jpg
IMG-20220321-WA0036.jpg
 
Nyakasangwe ipi Hapo karibu na nini

Kuelekea scout au kurudi kama unaelekea kwa martias

Ova
 
Nyakasangwe ipi Hapo karibu na nini

Kuelekea scout au kurudi kama unaelekea kwa martias

Ova
Kwa Matias ova"

I'm much available on WhatsApp and direct call( kwa yeyote ambaye yupo interested ana anataka kujibiwa haraka

Anitafute kwa simu " +255784355775)

Humu kuna wakati nakuwa busy...napitia usiku nikiwa nyumbani"

NATANGULIZA SHUKRANI!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom