Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

Shamba Ekari 18 (Ekari13 zimelimwa msimu huu na kupandwa Halizeti na Mahindi.(.Ekari8 kati ya hizo zimefanyiwa palizi tayari na mazao ni mazuri saaana(Mahindi yanakaribia kutoa mbelewele...

Huyu mtu amefikwa na masaibu na anataka mtu wa kununua pamoja na mazao yake yeye arudi zake kijijini maisha ya mjini yamemshinda...Kwa mwenye nia ya kununua tafadhali atume ujumbe )In private na namba yake atapigiwa simu).. Mtu huyu anashida hivyo anahitaji mtu aliyetayari na mwenye nia ya kweli....

Shamba lipo KM35 kutoka bagamoyo ukifuata njia mpya ya BAGAMOYO MSATA Katika kijiji cha MASUGURU(Na lipo Km1.5 tu kutoka barabara mpya hiyo ya BAGAMOYO MSATA..(Unaweza pia kwenda na gari mpaka shambani ikiwa mvua haijanyesha( Maana udongo ni mzito na katika njia hiyo)Kama wewe ni mkaazi wa Dar Es Salaam litakufaa sana.. Mwezi wa sita tu unaanza kufaidi mahindi yaliyostawi vizuri sana.. Mwenye nia atapelekwa kulikagua na kufanya maamuzi.. Ahsante..!.. AU PIGA 0654674622
 
Shamba Ekari 18 (Ekari13 zimelimwa msimu huu na kupandwa Halizeti na Mahindi.(.Ekari8 kati ya hizo zimefanyiwa palizi tayari na mazao ni mazuri saaana(Mahindi yanakaribia kutoa mbelewele...

Huyu mtu amefikwa na masaibu na anataka mtu wa kununua pamoja na mazao yake yeye arudi zake kijijini maisha ya mjini yamemshinda...Kwa mwenye nia ya kununua tafadhali atume ujumbe )In private na namba yake atapigiwa simu).. Mtu huyu anashida hivyo anahitaji mtu aliyetayari na mwenye nia ya kweli....

Shamba lipo KM35 kutoka bagamoyo ukifuata njia mpya ya BAGAMOYO MSATA Katika kijiji cha MASUGURU(Na lipo Km1.5 tu kuto barara mpya hiyo ya BAGAMOYO MSATA..Kama wewe ni mkaazi wa Dar Es Salaam litakufaa sana.. Mwezi wa sita tu unaanza kufaidi mahindi yaliyostawi vizuri sana.. Mwenye nia atapelekwa kulikagua na kufanya maamuzi.. Ahsante..!..
Mmiliki wa shamba anaishi wapi? Hiyo private number inapatikana wapi?
 
Pia hii ni kwa wale wanaotaka viwanja kule JIJI lilipo hamia:
Changamkia sasa kwani wakati ndio huu. Viwanja hivi vyote viko Amani Gomvu kwenye kona ya kwenda Amani Beach Kigamboni Kilomita 26 kutoka Kivukoni/Feri. Kila Plot ni Square mita 1100 na kila Square mita 1 ni Tsh 8000/=. Gharama hiyo inajumuisha gharama zote ambazo tayari ziko kwenye process mpaka kupata Title bid ya jina lako. Piga simu 0776278401 ​sasa kwa maelezo ya kina.
 
Labda sijafahamika vizuri( Ujue hili jukwaa kila mtu na akili yake na anavyojisikia mwenyewe kukujibu au ku-react) Hivyo ndio maana nikaomba aliye tayari atume ujumbe kutumia INBOX ya Jamii forums humu humu..alafu atapata majibu yoyote anayoyataka) Ahsante!!
 
Tumekuelewa ila nadhani weka hata bei ya kuanzia ili watu wapime uwezo wao Je anakubali kuuza nusu nusu?
Labda sijafahamika vizuri( Ujue hili jukwaa kila mtu na akili yake na anavyojisikia mwenyewe kukujibu au ku-react) Hivyo ndio maana nikaomba aliye tayari atume ujumbe kutumia INBOX ya Jamii forums humu humu..alafu atapata majibu yoyote anayoyataka) Ahsante!!
 
Mkuu mnauza zote kwa ujumla ama hata kwa heka chache pia mnauza?
 
Linauzwa Jumla Mkuu.. Maana inatakiwa hapatikane mumiliki mmoja tu..Hata Hivyo inahitajika pesa ya pamoja..Ili iweze kutatua matatizo yaliyokusudiwa..
Mkuu mnauza zote kwa ujumla ama hata kwa heka chache pia mnauza?
 
Note: Hatuhitaji dalali viwanja hivi ni vya kuaminika na malipo na mikataba ita tambuliwa na ofisi za kijiji husika pia unaweza kuandika mkataba wako kwa mwanasheria wako kwa uhakika zaidi.

Hatufanyi ubabaishaji

PATA wiwanja madale kwa kawawa......shilingi 7-8milioni kwa 20 x20m

Pata viwanja Njia Panda ya Nguzo ukitoka wazo hill barabara inayozungukia huko kuelekea MBEZI Mwisho. Kwa shilling 10 - 15Milion
20X20 , 25 X 25 nk. Ni Viwanja vilivyo kwenye potential area.(Hii ni plot MPYA )

Note:maeneo yote yanaendelea kujengwa kwa kasi na miundo mbinu ya umeme na maji IPO.

Note: Kuangalia na kukagua viwanja, tafadhali tuwasiliane na tupange kwenda kutembelea....Simu +255 762 466 293 & +255 784 355 775. - Mr MBUNGI)
 
mkuu mimi nahitaji hicho cha madale

Karibu SANA..! siku ya Jpili ndio naweza pata nafasi ya kukupeleka kukagua sehemu.

Miaka ya nyuma kidogo tulinunua kama mashamba(Bunju na Madale).

Ila sasa pameendelezwa sana na watu wanajenga hivyo tumeamua kuwauzia watu..

Madale Vipo winja kumi, Japo vingine visha nunuliwa..Mpangilio ni mzuri kuna nafasi za barabara zimeachwa kwa kila mtu kumwezesha kufika nyumbani kwake na gari yake au usafiri wowote atakao kuwa anatumia.

NOTE:KUHUSU UHALALI NA KUEPUKA UTAPELI.. TUTAKUPATIA MUDA WA KUJIRIDHISHA KWA KUKUPATIA USHIRIKIANO WA KUTOSHA, KUONANA NAKUFUNGA MIKATABA CHINI YA UANGALIZI WA WENYEVITI WA VIJIJI HUSIKA..PIA UNAWEZA KUTUMIA MWANASHERIA WAKO KUTENGENEZA MKATABA UTAKAPOFIKIA MAKUBALIANO YA KUUZIANA.
 
sawa mkuu
Jana nilitingwa na shughuli za Ukawa Kurejesha Form sikuweza Kuweka picha kama nilivyo kuahidi.

Weekend nilienda na watu wa kutosha niliowapata hapa hapa Jamvini(Naamini wapo na watakupa feedback..Mimi siwezi kuwasemea)..

Ila Kaiti ya viwanja 40 Nilivyokuwa navyo vimeondoka 14 tayari kwa mara moja tu..Ya Jpili..

sasa Sijui Jpili ijayo kama kitabaki kitu.. Maana tayari nimeishapata appointments za kutosha).

Madale Vimebaki 10TU! na Bunju Mpakani Vimebaki 16TU!!

KARIBUNI.>!
 
Attachments

  • IMG_20150809_141642.jpg
    IMG_20150809_141642.jpg
    503.2 KB · Views: 616
  • IMG_20150809_182644.jpg
    IMG_20150809_182644.jpg
    168.4 KB · Views: 566
Jana nilitingwa na shughuli za Ukawa Kurejesha Form sikuweza Kuweka picha kama nilivyo kuahidi.

Weekend nilienda na watu wa kutosha niliowapata hapa hapa Jamvini(Naamini wapo na wata

Ila Kaiti ya viwanja 40 Nilivyokuwa navyo vimeondoka 14 tayari kwa mara moja tu..Ya Jpili..

sasa Sijui Jpili ijayo kama kitabaki kitu.. Maana tayari nimeishapata appointments za kutosha).

Madale Vimebaki 10TU! na Bunju Mpakani Vimebaki 16TU!!

KARIBUNI.>!
Sawa mkuu,nitakucheck.
 
Jana nilitingwa na shughuli za Ukawa Kurejesha Form sikuweza Kuweka picha kama nilivyo kuahidi.

Weekend nilienda na watu wa kutosha niliowapata hapa hapa Jamvini(Naamini wapo na watakupa feedback..Mimi siwezi kuwasemea)..

Ila Kaiti ya viwanja 40 Nilivyokuwa navyo vimeondoka 14 tayari kwa mara moja tu..Ya Jpili..

sasa Sijui Jpili ijayo kama kitabaki kitu.. Maana tayari nimeishapata appointments za kutosha).

Madale Vimebaki 10TU! na Bunju Mpakani Vimebaki 16TU!!

KARIBUNI.>!

unaandika lakini?
 
Mbaba nahis cjachelewa nitaunga msafara hiyo cku ya jpili but b4 i will call you
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom