Harta Investments
Member
- Mar 10, 2022
- 10
- 6
- Thread starter
- #21
Hilo ni eneo ambalo lina makazi ya watu kwa muda mrefu sana hivyo huduma zote za kijamii zinapatikana mkuu....Huku kuna huduma Kama Maji , umeme na Barabara? Barabara ya kwenda Beach ipo? Kuna Mtu anaulizia.