Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi

chofachogenda

Senior Member
Oct 6, 2016
104
190
Pata viwanja kwa bei nafuu eneo la Kibaha madafu na mbezi mzalendo njia ya malamba.

Eneo lenye urefu wa 56 meter kwa 43 na mapana ya meter 19 umbali wa dakika 20 kwa miguu toka morogoro road. Kwa bei ya shilingi milioni mbili na laki tano tu . Vilevile Kuna eneo lingine hapo happy Lina urefu wa meter 20 kwa 20 kwa bei ya shilingi milioni moja na laki tano tu.

Kwa wanaohitaji viwanja eneo la mbezi mzalendo mbele ya malamba mawili kipo chenye ukubwa wa 18 kwa 20 kwa shilingi mil 3 , kingine kina ukubwa wa 20 kwa 20 milioni 4 na laki tano na kingine ni kumi kwa kumi kinauzwa milioni moja na laki tano.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0716694624.

1642676970261.png

1642677006749.png
 
NAUZA KIWANJA KILOSA NA BABATI.

KIlosa Eneo la Miyombo lina ukubwa wa Ekari tatu na Nusu bei ni milion 25 tu. Karibu sana.

Kiwanja cha Babati kipo kata ya Singe kijiji cha Maitsa. Ukubwa wa Ekari moja bei ni million 4.5.
Karibuni wadau. Viwanja hivi vipo maeneo yenye rutuba hivyo unaweza kulima chochote au kujenga.

Kwa mawasiliano piga: +255621856340

6B59EBF4-4E7D-43BE-9604-DA6999305387.jpeg


FAF9683A-99CA-4801-96A5-2D7B3ABCDC89.jpeg


CF22AEC5-4263-47EF-BF09-30424FEEDB2A.jpeg


E26168C7-AB4A-4ABB-9374-A3A8C7606D50.jpeg
 
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa sq 600 kina hati kipo Kigamboni kimbiji golani, km 35 kutoka ferry ..Bei ni 3.5mil Nicheki 0657940974
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom