Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vitano pamoja vinauzwa karibu nauwanja wa ndege wa kimataifa utakaojengwa dodoma vinauzwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EllyMsuya, May 29, 2012.

 1. E

  EllyMsuya Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiwanja kwa ajili ya kujenga hotel,shule au uwekezaji mwingine kiko karibu na Uwanja wa Ndege wa kimataifa unaotarajiwa kujengwa hapa Mjini Dodoma ukubwa Eka 16.4 Msalato Area kwa maelezo zaidi piga 0753577994,0713552829
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,426
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  Du heka 16.5 du natoa offer ya milioni 5.
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,932
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  CDA walishapga marufuku biashara hii.Maeneo hayo hayako salama kuna heka kama hz diwan wa kata ya miyuji aliwadhulumu wananchi wa mpamaa,siku kikikawaka muwe nama elezo,CDA hawajapima maeneo hayo,Na maeneo hayo yenye utata yalibaki kwenye uwanja huo.ambayo ilitakiwa yarudishwe kwa wenyewe,
   
Loading...