Plot4Sale viwanja vinauzwa

SUNGWI

Member
Jun 1, 2015
21
1
Viwanja vinauzwa viko lindi manispaa maeneo ya mnazi mmoja umeme na maji vinapatikana bei ni million 3 kwa vyote viwili Kama uko tayari piga 0716506630
 
Viwanja vinauzwa viko lindi manispaa maeneo ya mnazi mmoja umeme na maji vinapatikana bei ni million 3 kwa vyote viwili Kama uko tayari piga 0716506630
Mbona husemi ukubwa wa eneo wewe unataja pesa tu mkuu?

Au viwanja vina SI unit!
 
Haraka ya nini....subiri uanze kuvilipia kodi ndipo uuze. Tulia km maji mtungini, hii ni serikali ya KAZI TU!. Mkuu mm sina pesa usije ukanifikiria vibaya, ningekuwa nayo ningenunua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom