Viwanja vinauzwa tegeta 'a' bei 2.8mil

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
279
35
Viko goba tegeta 'a' size mita 20*20 2.8million, 22*22 3million
22*25 3.5million,40*20 5.6million, 44*22 6million na 25*44 7million
viko tambarare na umeme uko jirani.
(kwa taarifa zaidi piga 0718334726)
 
jee vimepimwa?na hiyo sehemu ungeielezea zaidi,ni karibu na kitu gani,kama barabara
 
karibu na kawawa road inayoanzia wazo mpaka kimara temboni

Asante kidogo umeeleweka ila unatakiwa ujue kwa usahihi eneo lako linaitwaje, mie ninafikiri unamaanisha viwanja vipo Goba ila unapitia njia ya kwa Kawawa au Wazo/Madale. Ungetaja pia kilomita ngapi kutoka barabarani ingesaidia
 
Kuna mkuu hapo juu smeuliza kama vimepimwa, na maswali mengine. yote yamejibiwa kasoro hili la kupima. nadhani Mkuu mpenda maendeleo utakuwa umesahau kutupa jibu. tafaddhali tuelimishe ili tujue mambo :)
shukrani
 
Mkuu vimepimwa? Siriaz mie nataka ila jibu swali hili kwanza
 
hakuna mgogoro wowote huyu bwana ni mpuuzi na mnafiki nimemsamehe bure kwa kuwa hajui alisemalo?
 
Mheshimiwa usiwadanganye wadau humu ndani.Mimi ndiye yule bwana niliekupigia simu Jumatatu, na mala baada ya kuongea na wewe niliamua kutumia njia za kiusalama kufuatilia ki undani juu ya uhalali wa eneo hilo. Na katika kuhakikisha zaidi niliweza kupata namba ya simu ya mwenyekiti wa mtaa wa eneo husika, nae alituhakikishia ukweli kwamba hilo eneo lina mgogoro. Tafadhari uwe na huruma na watanzania wenzako waliomo humu ndani,maana utapeli kwa wananchi wenzako (ambao nao wanatafuta hela kwa hali ngumu) hautakufikisha mahala pazuri. Inafaa utambue kwamba jambo unalofanya ni kinyume cha sheria, kwakuwa hilo eneo kwa sasa limeshikiliwa na mahakama,hupaswi kufanya mauzo ya aina yeyote.
 
Mkuu thanks sana ujue kuna watu hawana huruma na wenzao mtu anatafuta hela kwa jasho mtu anaumia kweli kwelii halafu huyu tapeli anataka kuja kula kiulaini,angalia wewe mpendaMaendeleo utaozea jela,
 
Last edited by a moderator:
https://www.jamiiforums.com/matanga...-vya-bei-nafuu-sana-vinauzwa-goba-matosa.html

tar 24/10/2012
Viko 7km kutoka kimaramwisho size
mita 20*20 3mil, 20*25 3.5mil, 20*40 6mil
na 25*40 7mil.

(vyote viko tambarare na vinafikika
kwa gari,umeme uko jirani.)

piga 0715055577/0769055577

tar 10/12/2012

Viko goba tegeta'a' size mita 20*20 2.8million, 22*22 3million
22*25 3.5million,40*20 5.6million, 44*22 6million na 25*44 7million
viko tambarare na umeme uko jirani.
(kwa taarifa zaidi piga 0718334726)
mpendaMaendeleo ni wa kuogopwa kama ukoma!
 
Mheshimiwa usiwadanganye wadau humu ndani.Mimi ndiye yule bwana niliekupigia simu Jumatatu, na mala baada ya kuongea na wewe niliamua kutumia njia za kiusalama kufuatilia ki undani juu ya uhalali wa eneo hilo. Na katika kuhakikisha zaidi niliweza kupata namba ya simu ya mwenyekiti wa mtaa wa eneo husika, nae alituhakikishia ukweli kwamba hilo eneo lina mgogoro. Tafadhari uwe na huruma na watanzania wenzako waliomo humu ndani,maana utapeli kwa wananchi wenzako (ambao nao wanatafuta hela kwa hali ngumu) hautakufikisha mahala pazuri. Inafaa utambue kwamba jambo unalofanya ni kinyume cha sheria, kwakuwa hilo eneo kwa sasa limeshikiliwa na mahakama,hupaswi kufanya mauzo ya aina yeyote.

Ndugu Erique kama wewe ni mkweli weka jina kamili la mwenyekiti wa mtaa, namba ya simu na Jina la mtaa ili wadau wampigie huyo mwenyekiti....
 
Back
Top Bottom