Viwanja vinauzwa kibamba makondeko bei million 3.5 tu

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
279
35
Viko kibamba kilomita 2 kutoka morogoro road.
vina ukubwa wa mita 25*23 bei million 4.2 na mita 20*23 bei million 3.5
umeme, maji yapo na vyote vinafikika kwa barabara

(kwa taarifa zaidi piga 0715055577/0769055577)
 
hizi taarifa za kweli au ndio magumashi maana siku hizi storiii nyingi:yell::nod:
 
Viko kibamba kilomita 2 kutoka morogoro road.
vina ukubwa wa mita 25*23 bei million 4.2 na mita 20*23 bei million 3.5
umeme, maji yapo na vyote vinafikika kwa barabara

(kwa taarifa zaidi piga 0715055577/0769055577)

Wewe angalia usije ukawa unauza viwanja maeneo ambako watu wamehamishwa kupisha ujenzi wa mji mpya!!!! Hebu twambie eneo lilipo hapo Makondeko? Na kumbuka Makondeko iko Ruguruni sio Kibamba!!!

Tiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom