Viwanja vinauzwa East Busweru Mwanza milion saba

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
11,381
14,186
Viwanja vipo busweru mpakani karibu na nyamhongoro na Pia ule mradi wa halmashauri wa East Busweru wa planned town of ilemela.

Viwanja vina sqm 800 na 812 vyote vinauzwa million Saba kila kimoja.

Viwanja vilipo ni rahisi kufikikika ni km 1.5 kutoka barabara kuu ya mwanza musoma.na Pia no karibu na wanapojenga kituo kipya cha mabasi cha nyamhongoro.

Viwanja vimepimwa na number zake pamoja na ukubwa uko hapo chini pamoja na picha ya maeneo halisi.

Kwa walio mwanza mnaweza nitafuta na kunipata live Kwa no hii ukakiona kiwanja 0620406081
IMG_20190904_124545.jpeg
IMG_20190904_124250.jpeg
IMG_20190904_124545.jpeg
IMG_20190830_092154.jpeg
 
Viwanja vipo busweru mpakani karibu na nyamhongoro na Pia ule mradi wa halmashauri wa East Busweru wa planned town of ilemela.

Viwanja vina sqm 800 na 812 vyote vinauzwa million Saba kila kimoja.

Viwanja vilipo ni rahisi kufikikika ni km 1.5 kutoka barabara kuu ya mwanza musoma.na Pia no karibu na wanapojenga kituo kipya cha mabasi cha nyamhongoro.

Viwanja vimepimwa na number zake pamoja na ukubwa uko hapo chini pamoja na picha ya maeneo halisi.

Kwa walio mwanza mnaweza nitafuta na kunipata live Kwa no hii ukakiona kiwanja 0620406081View attachment 1203830View attachment 1203831View attachment 1203832View attachment 1203834
Mkuu mbona vipo majarubani , dalili za majaruba ni hiyo mimea yenye miba( ma ngomela)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom