Viwanja vinauzwa Chanika Zingiziwa. Bei poa.

dazu

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
365
76
Nauza viwanja, vipo Chanika Zingiziwa (Dar es Salaam) km. 1.7 toka zingiziwa center. mita 20X20 (Tshs. 2,500,000/-) na 20X25 (Tshs. 3,000,000/-), kama uko serious tuwasiliane 0682826776
 
Nauza viwanja, vipo Chanika Zingiziwa (Dar es Salaam) km. 1.7 toka zingiziwa center. mita 20X20 (Tshs. 2,500,000/-) na 20X25 (Tshs. 3,000,000/-), kama uko serious tuwasiliane 0682826776

Zingiza iko wapi kaka yangu hebu nipe ramani ni karibu na wapi panapojulikana hapa DAR na usafiri unafikaje huko?
 
Chanika ni mbele ya kigogo fresh,magari yanayoenda huko yapo buguruni,hata goms,ni maeneo ambapo walihamishiwa wananchi walioondolewa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege
 
Da na mimi nina viwanja huko huko zingiziwa chanika.....eneo la kutosha tuu makubaliano..
Zingiziwa ipo mkoa wa dsm wilaya ya ilala unafika chanika mwisho mbele kidogo.
 
Chanikaaaaa eeeeee hainijii akilini ila hebu unaanzia wapi vile? Uelekeo yaani! Halafu vipi miundombinu! Barabara, umeme na maji?
 
Zingiza iko wapi kaka yangu hebu nipe ramani ni karibu na wapi panapojulikana hapa DAR na usafiri unafikaje huko?

Ni zingiziwa mkuu. Kutokea katikati ya jiji unashika barabara ya nyerere (zamani pugu road). Ukifika Pugu kajiungeni, unapinda kushoto kuelekea chanika. ukifika chanika mwisho unapinda kushoto (kama lami inavyoelekea). Unapita Shule ya Sekondari ya Didas Masaburi, kama km 2 mbele yake ndo eneo la Zingiziwa. Kama una gari binafsi inafika mpaka penye plot.

Kama unatumia usafiri wa umma, unapanda magari ya Mvuti, ukishavuka chanika mwisho, unashukia kituo cha kibaoni.
 
Chanika ni mbele ya kigogo fresh,magari yanayoenda huko yapo buguruni,hata goms,ni maeneo ambapo walihamishiwa wananchi walioondolewa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege

Ahsante mkuu kwa ufafanuzi
 
natafuta kiwanja wakuu. ndani ya Dar es Salaamm bajeti yangu miliano 4 hadi 5
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom