Nauza viwanja, vipo Chanika Zingiziwa (Dar es Salaam) km. 1.7 toka zingiziwa center. mita 20X20 (Tshs. 2,500,000/-) na 20X25 (Tshs. 3,000,000/-), kama uko serious tuwasiliane 0682826776
Zingiza iko wapi kaka yangu hebu nipe ramani ni karibu na wapi panapojulikana hapa DAR na usafiri unafikaje huko?
Hupati..labda uende kisemvule.natafuta kiwanja wakuu. ndani ya Dar es Salaamm bajeti yangu miliano 4 hadi 5
kweli? hata Salasala juu kule, Chanika, Mbande, Chamazi kule, Bunju mwishoHupati..labda uende kisemvule.
#MaendeleoHayanaChama
Kitunda au kivulekweli? hata Salasala juu kule, Chanika, Mbande, Chamazi kule, Bunju mwisho