Viwanja vinapatikana kwa bei rahisi maeneo ya Mbezi

Tranquility State

Senior Member
Feb 14, 2018
121
96
Kwa wale wenye kuhitaji viwanja kwa ajili ya makazi maeneo ya Makabe,Msakuzi na Goba Mpakani tuwasiliane ili uweze kusaidiwa.

Viwanja vipo sehemu nzuri,yalikuwa ni mashamba sasa vimekatwa viwanja kuanzia mita 20*20 hivyo pesa yako ndio itakufanya wewe ununue mita 20*20 au 40*40.

Bei iko hivi:
Mita 20*20>6.5mil
Mita 20*40>13mil
Mita 40*40>26mil

Huduma mhimu zilizopo ni Umeme na Barabara zilizopimwa.
 
[/IMG]Bei iko hivi:
Mita 20*20>6.5mil
Mita 20*40>13mil
Mita 40*40>26mil

Huduma mhimu zilizopo ni Umeme na Barabara zilizopimwa.
Taarifa mhimu za umiliki wa viwanja ni za Serikali za mitaa,ni jukumu la mteja kufanya utaratibu wa kupata hati kutoka Ardhi kama atahitaji.

Mimi ni Dalali hivyo kuna gharama ya kuzunguka kwenye viwanja.
Note:Kama una gari binafsi ni Tsh5,000 kama ni usafiri wa jumuia ni Tsh10,000.
Ukinunua kiwanja ni hiari yako kunipa zawadi ya pesa(unaweza kuacha).

Namba ya simu +255714869888.
Kwa walio na uhitaji tumia namba hii utanipata na kupata huduma
Zawadi ya pesa ... sawa
 
MBONA UMEWEKA BEI ZA KIKWETE?
 
Bei za kawaida kwa mtu anaejua thamani ya ardhi kulingana na mahali husika.
VIWANJA HAVIJAPIMWA NA SERIKALI HIVYO HAVINA HATI,VIWANJA VYA SERIKALI BEI KWA SQM UUZWA KATI YA 10,000 HADI 12,000 SASA TUKICHUKULIA CHAKO HICHO CHA 40*40 (SQM 1600 KWA 12,000) UNAPATA 19.2M NA KINA HATI ,KIMEPIMWA,SASA WEWE UNAUZA 26M NA HAKINA HATI WALA HAKIJAPIMWA.
 
Wapi huko boss,nipeleke ninunue kwa hio 19mil isiwe mbali na mji au isiwe sehemu isio na hadhi kama au bado sana kuwa mji
 
FUATILIA KWA WAKURUGENZI WA MANISPAA/HALMASHAURI WANA VIWANJA VINGI VIPO SOKONI.
Niliwahi kufuatilia nikapata mbali na mji ndiomaana nakuomba wewe unaejua unitajie hata sehemu moja jirani kama Mbezi isiwe mbali sana ninunue mita 40*40 kwa 19mil.
Utawasaidia na wengine wanaokosa viwanja vya karibu na mji wakati wanaweza kupata kwa 19mil.
 
Kwa wale wenye kuhitaji viwanja kwa ajili ya makazi maeneo ya Makabe,Msakuzi na Goba Mpakani tuwasiliane ili uweze kusaidiwa.

Viwanja vipo sehemu nzuri,yalikuwa ni mashamba sasa vimekatwa viwanja kuanzia mita 20*20 hivyo pesa yako ndio itakufanya wewe ununue mita 20*20 au 40*40.

Bei iko hivi:
Mita 20*20>6.5mil
Mita 20*40>13mil
Mita 40*40>26mil

Huduma mhimu zilizopo ni Umeme na Barabara zilizopimwa.
Taarifa mhimu za umiliki wa viwanja ni za Serikali za mitaa,ni jukumu la mteja kufanya utaratibu wa kupata hati kutoka Ardhi kama atahitaji.

Mimi ni Dalali hivyo kuna gharama ya kuzunguka kwenye viwanja.
Note:Kama una gari binafsi ni Tsh5,000 kama ni usafiri wa jumuia ni Tsh10,000.
Ukinunua kiwanja ni hiari yako kunipa zawadi ya pesa(unaweza kuacha).

Namba ya simu +255714869888.
Kwa walio na uhitaji tumia namba hii utanipata na kupata huduma
Lazima iwe zawad ya pesa? Machungwa vp,hupokei?
 
Niliwahi kufuatilia nikapata mbali na mji ndiomaana nakuomba wewe unaejua unitajie hata sehemu moja jirani kama Mbezi isiwe mbali sana ninunue mita 40*40 kwa 19mil.
Utawasaidia na wengine wanaokosa viwanja vya karibu na mji wakati wanaweza kupata kwa 19mil.
Sijakuelewa unavyosema mbali na mji unamaanisha nini? DSM kuna sehemu mbali na MJI? Hapa nazungumzia Viwanja vya Kupimwa DSM,Mbali kutoka wapi? Kuna mtu anakaa Mbezi anafanya kazi Ubungo,Kuna mwingine Anakaa Chanika anafanya kazi Pugu etc,Huwezi kumwambia yupo mbali na mji,angekuwa mbali na Mji endapo anakaa Tegeta anafanya KAzi Gongolamboto hapo kweli Yupo Mbali na Mji(Makazi) Yake.....KWA DSM HAKUNA MBALI NA MJI,WATU WANAKAA BAGAMOYO WANAFANYA KAZI POSTA,AU ni ufahari kukaa Manzese SKWATAZ au JANGWANI Skwataz kwakuwa ni karibu na k/koo hata ukipata ajali ya moto gari aiingiia kabisa? Unataka kukaa jangwani karibu na k/koo mvua ikinyesha ni balaa unakula hasara ya vitu vyako vyote?
 
Maelezo mengi lakini jibu hakuna,umetaja tu maeneo yasiokuwa na hadhi.

Bei za maeneo haziwezi kuwa sawa mfano Mbezi ni tofauti Chanika,pia Mbezi haiwezi kuwa sawa na Mwenge au Makumbusho.

Sio kila mtu atakimbilia kiwanja cha bei rahisi ili kila siku akashuhudie vigodoro wengine wanafuta maeneo yenye utulivu.

Kwa mfano Mbezi Beach bei ipo juu sana huwezi kulinganisha na Bunju kwasababu ni nje ya mji.
Unaweza kwenda kununua huko kwenye bei rahisi ambako hutaki kutuambia ni wapi.
 
Wewe ni Dalali lakini unaonekana huna Ufahamu wa Maeneo ya DSM,Upo centered na MSAKUZI/MADALE/GOBA etc Nani aliyekwambia Chanika haina hadhi? Hivi unajua Hadhi ya viwanja vilivyopimwa? Sehemu yeyote iliyo SKWATA haina hadhi hata ikiwa MASAKI au POSTA MPYA.

Watu wengi wananunua viwanja visivyopimwa kwa bei ya juu sana,tatizo ni kutokuwa na ufahamu,VIWANJA Vilivyopimwa na serikali bei yake ni rahisi sana kuliko hizo skwata mnazouza,Ona skwata ya sqm 800 unauza 13m wakati Halmashauri wanauza 9.6m tu na HATI Juu unapewa.
 
Haina haja ya kuendelea kubishana nenda kanunue hio sehemu usioitaja ambayo wakazi wa Dar es Salaam wanaweza kutosha kuishi huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom