Viwanja vinapatikana Boko kwa bei nafuu

Ellie

Senior Member
Sep 2, 2011
123
15
Ndugu wana Jamii wenzangu naomba nitumia fursa hii kuwajulisha kuwa, kuna viwanja (20x20)metre, kwa 5M,vipo boko califonia!
Contact: +255712833135
 
Ndugu wana Jamii wenzangu naomba nitumia fursa hii kuwajulisha kuwa, kuna viwanja (20x20)metre, kwa 5M,vipo boko califonia!
Contact: +255712833135

Asante kwa taarifa.
Mi' natafuta Kibaha-Visiga, nitapata kwa bei gani?
 
Ndugu wana Jamii wenzangu naomba nitumia fursa hii kuwajulisha kuwa, kuna viwanja (20x20)metre, kwa 5M,vipo boko califonia!
Contact: +255712833135

Acha kugeuza mji kuwa slams wewe, uza chote ka unataka na sio vibustani
 
acha kugeuza mji kuwa slams wewe, uza chote ka unataka na sio vibustani
hata ukitaka ukubwa zaidi ya mita 20x20, utapata, ishu ni kwamba tunajaribu ku meet demand za watu wote, from low to high income people.
 
sasa kama ni hivo si uuze laki 5 kwa 20 kwa 20?!! nyie ndio mnasababisha miji michafu isiyopangika matokeo yake foleni kila mahala
 
Back
Top Bottom