Beacon, mawe yanayopandwa ardhini kwa lengo la kuonesha mipaka ya eneo lililopimwa

NUNUA PLOT ZILIZOPIMWA DODOMA.

plot zipo
Nala, mbele ya mizani
Approximate ya 15km
From dodoma centre to singida road
4km from singida road to site
Nauza
5000 kwa sqm
Zipo kuanzia 500sqm
Bei kwa kuanzia 2,500,000/=
Zipo karibu na eneo la chuo cha IFM

Contact;
WhattsApp 0713778937
Call 0754619189
IMG_20191010_184932_730.jpeg
Screenshot_20191010-210131.jpeg
 
Habari wadau,
Kwa wale walio na ufahamu ,uzoefu na upana wa mpango wa Mji wa Dodoma ya leo na ya kesho naomba mnishauri kama ni sahihi kuwekeza katika ardhi kwa kununua kiwanja kilichoainishwa kwa matumizi ya Makazi & biashara kule NALA Dodoma.

Nitafurahi kama unaweza kunipa sababu za ushauri wako.

Note: Nimeambiwa maeneo hayo ya NALA (14km from City Cetre) kunatarajiwa kujengwa Campus za Universities kama IFM and St. John

Ubarikiwe kwa ushauri wako.

Ahsante
 
Kwanini uendelee kumiliki ardhi ambayo haina Hati Miliki?

Kama bado unamiliki kiwanja au shamba na bado hujavipatia hati miliki, Huna sababu ya kufanya ivo, Surveyor Aloyce nipo kwa ajili yako kufanikisha zoezi ilo ndani ya muda mchache.

Ivo cha kufanya ni kuwasiliana na Surveyor Aloyce kwa namba

WhattsApp 0713778937
Call 0754619189
Au Fika moja kwa moja kwenye ofisi zetu zilizopo Sinza Legho
FB_IMG_1584333072562.jpeg
FB_IMG_1584333163326.jpeg
FB_IMG_1584333058057.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini uendelee kumiliki ardhi ambayo haina Hati Miliki?

Kama bado unamiliki kiwanja au shamba na bado hujavipatia hati miliki, Huna sababu ya kufanya ivo, Surveyor Aloyce nipo kwa ajili yako kufanikisha zoezi ilo ndani ya muda mchache.

Ivo cha kufanya ni kuwasiliana na Surveyor Aloyce kwa namba

WhattsApp 0713778937
Call 0754619189
Au Fika moja kwa moja kwenye ofisi zetu zilizopo Sinza Legho
View attachment 1389637View attachment 1389638View attachment 1389639

Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa please. Process nzima ikoje mpaka napata hati? Naanzia wapi naishia wapi? plus gharama
 
HATUA ILI UWEZE KUPIMIWA KIWANJA AU SHAMBA LAKO (Ili uweze kupata hati miliki)

Ukaguzi wa eneo lako husika ili kujua eneo lako limepangwa kwa ajili ya matumizi gani, Hapa atashirikishwa mpima ardhi kwa ajili ya kufanya utambuzi wa eneo husika kujua lipo kwa ajili ya matumizi gani, Hivyo ni lazima afike site kwako na kifaa (Handheld GPS), Achukue vipimo kuzunguka eneo lako, Baada ya hapo akatafute taarifa za eneo lako halmashaur/ wizaran ili aweze kupata raman ya mipango miji.

Matokeo ya zoezi la ukaguzi wa eneo,
Eneo husika kukosa sifa za kupimika, eneo husika linaweza likakosa sifa za kupimika kwa eneo husika kutokua limeandaliwa matumizi kabisa (halina mchoro wa mipango miji), Eneo husika kuwa lipo katika matumizi ya maeneo ya kijamii mf makabuli, barabara, soko n.k

Eneo husika kuwa na sifa ya kupimika,
Eneo husika kuwa katika matumizi ambayo mtu binafsi anaweza kumili mf makazi, hotel, biashara n.k

Kibali cha upimaji,
Mteja au mmiliki halali wa eneo husika inabidi aandae barua kwa ajili ya kuomba kupimiwa eneo lake, Barua hiyo itapita serikali ya mtaa na halmashauri husika.

.Upimaji,
Hapa ni suala la kitaaluma zaidi ambapo mtaalama ataweka mipaka katika eneo lako kwa kutumia mawe (beacons), litaandaliwa file kwa ajili ya kwenda wizaran likiambatanishwa na ramani ya upimaji. Na mwishowe utarudishiwa ramani iliyo hakikiwa toka wizarani kama ramani ya upimaji.

Mteja utakabiziwa ramani ya upimaji,
ambayo utapaswa uende nayo kwenye halmashaur husika umuone afisa ardhi ili aweze kukuandalia hati miliki yako.

By Surveyor Aloyce
WhattsApp 0713778937
0754619189

GOLD LAND CONSULT CO. LTD
Tunapatikana Sinza Legho
Darasa please. Process nzima ikoje mpaka napata hati? Naanzia wapi naishia wapi? plus gharama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ardhi ni zawadi yetu kutoka kwa Mungu kwanini tupagiane namna ya kuimiliki, dunia hii ya ajabu
 
WAKALA WA HUDUMA ZA ARDHI
SURVEYOR ALOYCE CO. Ltd

TUPO KWA AJILI YA KUSAIDIA WANANCHI WENYE UHITAJI WA HUDUMA KWENYE SEKTA YA ARDHI
(Hii Ni Kutokana Na Watu Wengi Kutokua Na Muda/Uelewa Wa Mambo Ya Ardhi)

Kufuatilia Upimaji Wa Ardhi
Kufuatilia Manunuzi Ya Ardhi (Matumizi Ya Eneo)
Kufanya Transfer Ya Hati
Kufuatilia Hati Mpya
Kubadili Matumizi Ya kiwanja
Kufuatilia Hati Iliyoisha Muda
Kufuatilia Vibali Vya Ujenzi
Kufuta Ramani Ya Upimaji/Hati/Mipango Miji
Kulipia Kodi Ya Ardhi
Ushauri/Elimu Ya Ardhi


Surveyor Aloyce Co. Ltd
Location; Shekilango (Nyuma Ya Rombo Green View Hotel)
Instagram; @Surveyor_Aloyce @Surveyor_Aloyce @Surveyor_Aloyce @Surveyor_Aloyce @Surveyor_Aloyce
Call/WhattsApp 0713778937
IMG_2556.jpg

IMG_2530.jpg

IMG_2525.jpg
 
WAKALA WA HUDUMA ZA ARDHI
SURVEYOR ALOYCE CO. Ltd

TUPO KWA AJILI YA KUSAIDIA WANANCHI WENYE UHITAJI WA HUDUMA KWENYE SEKTA YA ARDHI
(Hii Ni Kutokana Na Watu Wengi Kutokua Na Muda/Uelewa Wa Mambo Ya Ardhi)

Kufuatilia Upimaji Wa Ardhi
Kufuatilia Manunuzi Ya Ardhi (Matumizi Ya Eneo)
Kufanya Transfer Ya Hati
Kufuatilia Hati Mpya
Kubadili Matumizi Ya kiwanja
Kufuatilia Hati Iliyoisha Muda
Kufuatilia Vibali Vya Ujenzi
Kufuta Ramani Ya Upimaji/Hati/Mipango Miji
Kulipia Kodi Ya Ardhi
Ushauri/Elimu Ya Ardhi


Surveyor Aloyce Co. Ltd
Location; Shekilango (Nyuma Ya Rombo Green View Hotel)
Instagram; @Surveyor_Aloyce @Surveyor_Aloyce @Surveyor_Aloyce @Surveyor_Aloyce @Surveyor_Aloyce
Call/WhattsApp 0713778937View attachment 2095068
View attachment 2095069
View attachment 2095070
Gharama zenu zipoje.mfn:mtu mwenye heka mbili
 
On Progress Just One Call 0713778937 Then The Rest Mpaka Kupata Hati Yako Tuachie Sisi
db9651cf-ba2f-4f7e-84a2-0cdd81f0db91.jpg
 
Back
Top Bottom