Viwanja Na Mashamba Kigamboni Kwa Bei Rahisi!!!!!

yoyo

Member
Aug 3, 2012
19
4
Habari,

Nina mashamba na viwanja vilivopimwa maeneo ya kigamboni kwa bei ya kuanzia milioni nne kwa mashamba ya kuanzia heka moja (bei inazungumzika) NA kwa anayetaka viwanja vyenye hati tuwasiliane kwa namba 0753 417 987.

Karibuni.
 
Viko maeneo gani kabla hatujajirusha hewani kukupigia?



Maeneo ya cheka,Amani gomvu na mwanzo mgumu,hivi vyote ni nje ya maeneo ya mji mpya,,karibu tuongee kile unachohitaji wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom