Viwanja, Mashamba yanauzwa, wahi kabla bei hazijapanda zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja, Mashamba yanauzwa, wahi kabla bei hazijapanda zaidi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by baju, Mar 27, 2012.

 1. b

  baju Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MAENEO YANAUZWA (Barabara ya Kilwa baada ya Kongoe)
  a. Shamba – lipo Vikindu Kamegele – karibu na (chuo cha ualimu) linaangaliana na barabara. Lina ukubwa wa hekari tatu (3). Kuna mazao kama miembe, minazi, mikorosho.
  Bei yake Shilingi Milioni 7 (TSH 7M.).
  b. Shamba – lipo Kamegele – kwa upande linapakana na hifadhi ya misitu.
  Lina ukubwa wa hekari 12. Kuna mazao kama miembe, minazi, mikorosho.
  Bei ni Shilingi Milioni 30 (TSH 3M.).
  c. Eneo – lipo karibu na kiwanda cha plastiki vikindu. Kina ukubwa wa hekari moja na robo tatu (1 3/4).
  Bei yake Shilingi Milioni 35 (TSH 35M.).
  d. Viwanja – Vipo Ngunguti – Vikindu.
  Vina ukubwa wa Hatua 20x20.
  Bei yake Shilingi Milioni Moja na Laki Mbili (TSH 1.2M).

  Kwa maelezo zaid piga simu hii: 0714673085
   
Loading...