Viwanja kimara ukubwa kuanzia mita 20x20 na kuendelea bei from tshs 4m nakuendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja kimara ukubwa kuanzia mita 20x20 na kuendelea bei from tshs 4m nakuendelea

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ndeonasiae, Sep 6, 2011.

 1. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kimara bonyokwa, ukifika kimara mwisho unaaenda barabara kubwa ya kushoto (jakaya road) sasa along jakaya road ndio kuna hivyo viwanja.
  kama unahitaji piga namba 0716622185 au 0759311775, utapelekwa kuviangalia.
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kutoka morogoro rod ni kilomota ngapi?, taja bei ya kuuzia
   
 3. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Bei pliz
   
 4. B

  BARRY JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  wewe ndiyo unauza ok! sema ni sh. ngapi unauza...............kwanini nikupigie simu kwa hela yangu wewe? tuna safari ndefu mno!
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu kwenye heading ametaja bei .... au hukusoma heading?
   
Loading...