Viwanja Bukoba mjini ni Laki 2 tu changamka wadau

je hayo maeneo sio yale yenye ugonjwa wa migomba.mi mchaga ndizi ni muhimu.
 
Byabato unamaanisha laki mbili (TZS 200,000) au umeteleza ni milioni mbili (TZS 2,000,000/=)?
Huu mpamgo wa kuuza viwanja 5000 niliusikia. Na nilifahamu vinaanza kuuzwa toka tarehe 17/04/2012 kwa bei ya 2M. Sasa hiyo bei yako ya leo imenistua! Naomba ututhibitishie na ikiwezekana tunatanguliza shukrani kama utatuwekea Link ya ulikoisoma hii bei.
 
soma hiyo link
Harakati
 
Ni kweli bwana nimeongea na jamaa yangu yuko huko manispaa lakini kuna uwezekano wa watu kuliwa fedha zao,natoa taadhari kwani kuna watu walikwisha lipia viwanja miaka kama 6 iliyopita hawajapata,iweje vipatikane vya kuuza
 
Nimesikia tayari viwanja vimeuzwa ila wamiliki hawakupata kama walivyokuwa wanehaidiwa hapo hawali wenye taharifa pls

CC: Ta Muganyizi,Laki si Pesa,Rutunga
 
Back
Top Bottom