Viwanja Boko vinauzwa

Ellie

Senior Member
Sep 2, 2011
123
15
Viwanja vinapatikana Boko Dar es Salaam, karibu na barabara maeneo ya Boko Califonia.
Mawasiliano zaidi piga +255712833135
 
Mkuu vipo vingapi na vina ukubwa gani? Ungejaribu kutoa description angalao kidogo.
 
Toa description: Size gani? Low or High Density,Vimepiwa au skwata? Starting price?
 
miguu 20x20, kwa kipande na ni skwata and starting price is 15mil. near Bagamoyo road.
 
Enzi hizi tena jijini DSM bado mnapima kwa miguu. Kwa khiyo hiyo miguu 20X20 ni sawa ni Tmetres x Pmetres ngapi?
 
miguu 20x20, kwa kipande na ni skwata and starting price is 15mil. near Bagamoyo road.

Kwa hiyo bei nasema ni wizi mtupu na ujambazi juu,nenda manispaa kapate bei ya serikali kwanza kwa viwanja vilivyopimwa per square meter ni sh ngapi ndio upange bei ya skwata lako la boko.Halafu kwenye hiyo 20*20 kuna nini mjengo au?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom