Viwanja bei chee, lete mteja pata commission!

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,791
847
Viwanja vyenye ukubwa wa ft50 kwa 40 ft vipo tele Ilala na Temeke Dar bei ni 2,500,000 tu.Vipo kisewe na Msongola Dar.Wahi wakati huu bei ni afadhali!.Wasiliana nami kupitia namba 0717288306....Nunua plot....anza ujenzi sasa.MCHANGA NA MAJI YAPO KARIBU.Pia mashamba kuanzia heka 1 yapo kwa bei poa.
 
dude futi 50 ni sawa na mita kama 15 na futi arobaini ni sawa na mita kama 12

unajenga nyumba au viota?? kiwanja cha 15x12

kiwanja cha square metter 180 unajenga nini?? frame??
 
dude futi 50 ni sawa na mita kama 15 na futi arobaini ni sawa na mita kama 12

unajenga nyumba au viota?? Kiwanja cha 15x12

kiwanja cha square metter 180 unajenga nini?? Frame??
...eneo limelengwa kwa high density,kwa watu wa kawaida ili wapate plot kwa bei poa na wamiliki nyumba,futi 50 kwa 40 unatoa nyumba safi ya vyumba 6 na eneo linabaki kubwa tu la sewage,parking na open....KWA VIWANJA PIGA 07170288306
 
ni vizuri pia kama una muda uende ukajionee kwa macho,kucomment peke yake hautaridhika,kama mtu ni muhitaji wa kweli.
 
Ukitaka kufika huko unapanda magari ya wapi? Maana ndio kwanza napasikia . maana huu mji nao mpana kwel
 
...eneo limelengwa kwa high density,kwa watu wa kawaida ili wapate plot kwa bei poa na wamiliki nyumba,futi 50 kwa 40 unatoa nyumba safi ya vyumba 6 na eneo linabaki kubwa tu la sewage,parking na open....KWA VIWANJA PIGA 07170288306

aisee...

haya
 
Acha uongo,huo uhandisi umesoma wewe?!!

12X15 nyumba ya vyumba sita na nafasi inabaki!!

Labda ghorofa otherwise Utakuwa unaota Au unaongealea miujiza.
 
1meter is equal to 3.3feet so 50ft is equal to 15.5m and 40ft is equal to 13.2m. Asante
 
Viwanja vyenye ukubwa wa ft50 kwa 40 ft vipo tele Ilala na Temeke Dar bei ni 2,500,000 tu.Vipo kisewe na Msongola Dar.Wahi wakati huu bei ni afadhali!.Wasiliana nami kupitia namba 0717288306....Nunua plot....anza ujenzi sasa.MCHANGA NA MAJI YAPO KARIBU.Pia mashamba kuanzia heka 1 yapo kwa bei poa.

Hizo ni mita au ft?
 
Acha uongo,huo uhandisi umesoma wewe?!!

12X15 nyumba ya vyumba sita na nafasi inabaki!!

Labda ghorofa otherwise Utakuwa unaota Au unaongealea miujiza.

Mkuu inawezekana,
Pengine wewe eneo la chumba kimoja mwenzio anatoa viwili.

Ukubwa wa vyumba vya Nyumba zilizoko Masaki, Osterbay e.t.c hauko sawa na ukubwa wa vyumba vya Nyumba zilizoko Mbagala, Mburahati, Tandale, Vingunguti, e.t.c
 
Mh hio ni bustan sio kiwanja

naona wana JF wengi huwa wanajaji sana hiki kitu sijui sababu ya ujinga, ubishi au kutofahamu... Uref huo unaozungumziwa hapo ni mkubwa pia waweza toa nyumba kubwa na parking ikabaki... Hebu mjenge desturi ya kudadisi na kwenda kujionea viwanja vyenyewe...
 
nauza kiwanja goba (kunguru )st.joseph kina nyumba ya kukarabati kidogo ina umeme maji yapo eneo lipo hatua tano toka hifadhi ya barabara ukubwa wa eneo 20*25 dalali hatakiwi ni pm kwa inf zaidi
 
...eneo limelengwa kwa high density,kwa watu wa kawaida ili wapate plot kwa bei poa na wamiliki nyumba,futi 50 kwa 40 unatoa nyumba safi ya vyumba 6 na eneo linabaki kubwa tu la sewage,parking na open....KWA VIWANJA PIGA 07170288306

hivi futi 12 unazijua au hii ndio style mpya ya broker
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom