Viwango ya ufaulu kwa watu wa fani ya afya vitazamwe upya

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
5,427
2,000
Habari za leo wadau
Kichwa cha mada kinahusika,miaka ya nyuma kidogo ilikuwa mtu asipokuwa na ufaulu mzuri wanamkimbizia kwenye ualimu,siku hizi imekuwa ni fani za afya kwa ngazi ya diploma kushuka chini
Naomba ieleweke vyema hawa watu ni wale wanahusika na afya zetu moja kwa moja kwa hiyo uelewa na umakini ni jambo nyeti sana kwao.Bahati mbaya watu hawa kutokana na uelewa finyu wamekuwa wakitufanyia majaribio miili yetu kwa kutokuwa wadadisi na makini kwenye utendaji wao,mbaya zaidi ni careless hili chanzo chake ni kudahiliwa kwa maksi ndogo na kusoma ilimradi chuo
Binafsi huwa nikienda hospitali au duka la dawa nikavikuta hivi vitoto kwa kweli huwa nakosa imani nao maana naelewa uelewa na uzoefu wao,ni afadhali ukuta mtu mzima kwa kigezo cha uzoefu atakufanyia detailed prescription na ushauri trustful
Kuna kesi nyingi za kukosea kuchoma sindano,kutoa dawa hovyo nk ambazo zimewaathiri watoto na watu wazima wengi tu naowafahamu.Mfano mdogo una mtoto mdogo let say anakohoa/kifua unaenda duka la dawa au vituo vya afya wanakupa dawa za kundi la expectorant,unampa mtoto zinalazimu akohoe ateme makohozi sasa mtoto mchanga anautashi upi wa kutema?
NB:Sina nia ya kukashifu fani au taaluma ya mtu ila ni vyema wachukuliwe watu wenye ufaulu angalau div 2 kwenda juu hawa ni wepesi kujifunza na kuelewa kuliko watu wa chini ya hapo.
 
feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
4,643
2,000
Well said mkuu

Miaka ya Nyuma ili usome diploma ya utabibu,ukunga na maabara na hata phamacy ni lazima utoke jasho na uwe na ufaulu mzuri sana lakini kwa sasa uwepo wa vyuo vingi vya private ambavyo hawaangalii ubora zaidi ya hela ndo unakuta mtoto ana makarai yote(D)anabebwa akifika chuo napo favour mwanzo mwisho.

Kwa sasa hata vyuo vya serikali vimefuata huo mkumbo kumekuwa na favour nyingi zisizokuwa na maaana mwishowe wadau wana maliza miaka 3 wamesoma kwa kuparua.

Necta na wizara ya afya nao pia hovyo wameweka vigezo vya udahili vya hovyo kozi zimepoteza ladha siku hizi wanafunzi hawasomi kwa kuelewa wao wanataka D au C tu ili akasome utabibu.

Pia ningeomba na serikali imuulike na level ya Digrii kuwepo na Mitihani ya wizara kila mwaka ili kuchuja watu kama wafanyavyo diploma maana siku hizi hata hao Madokta tunaowategemea wengi wao vilaza ila ikiwepo pepa za taifa kila mwaka itaongeza sana uadilifu.Unakuta Md anazidiwa na Mtu wa Diploma kiuwezo huo si upuuzi!

900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
3,132

Serikali inataka D4 kuapplay afya, unaweza kuwana division 1 usiwezekuomba afya lakini mwenzako ana four akaenda afya tena doctor au nesi,mfano wewe una A za arts una F fizikia na chemia ,mwenzako ana DDDD za kemia fizikia biologia na english
 
Inashangaza sana wakati fani hii ni nyeti sana,yaani hakuna msisitizo wowote unafanywa kudhibiti viwango vya wahitimu mwisho wa siku tunaathirika kwa huduma mbovu za hawa jamaa wa miaka hii
 
ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
5,427
2,000
Serikali inataka D4 kuapplay afya, unaweza kuwana division 1 usiwezekuomba afya lakini mwenzako ana four akaenda afya tena doctor au nesi,mfano wewe una A za arts una F fizikia na chemia ,mwenzako ana DDDD za kemia fizikia biologia na english
This nonsense nayoisemea Sasa sijui kwa nini wanafanya hivyo,huku ni kucheza na afya zetu afu mtu ambaye sio competent hajiamini na anakuwa harsh sana,wanahatarisha afya zetu sana.
 
Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
363
500
This nonsense nayoisemea Sasa sijui kwa nini wanafanya hivyo,huku ni kucheza na afya zetu afu mtu ambaye sio competent hajiamini na anakuwa harsh sana,wanahatarisha afya zetu sana.
Sidhani kuwa hawako competent je umepimaje hicho kigezo sio unaongea tuu mbna tuko nao na wanapiga kazi vizuri unajua brother serikali sio wajinga everyone deserve a second chance
 
ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
5,427
2,000
Sidhani kuwa hawako competent je umepimaje hicho kigezo sio unaongea tuu mbna tuko nao na wanapiga kazi vizuri unajua brother serikali sio wajinga everyone deserve a second chance
Nimeeleza sababu za kusema hawako competent na nimepima kwa ubora wa huduma wanazotoa tena nime cite cases kadhaa
Walio vizuri wachache huwa hawakosekani lakini wengi ni majanga.Yaani wewe unaona mtu aliyepata div 3 kushuka chini atakuwa tabibu makini huyo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom