Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Mwalim aliyeanza kazi 2005 yupo TGTS G ambayo ni 1600,000 gross unabisha nn!??? Tena huyo ni mwenye diploma!!! Je wabisha!!!
Sawa mkuu, nilifikiri 2015 kumbe ni 2005?!? Sawa aisee, niwie radhi.
 
Sio gari tuuu wana mpaka machine za kusaga magari magest nk!!! Amini nakwambia !!! Jamaa yangu ni teacher kasjiriwa 2016 ana machine mbili za kusaga! Coaster moja!!! Ana mpango wa kujenga gest namanga arusha yeye yupo dar!!!! Huwa ananichosha sana

Kuna maticha wana Mipango Mikali mikali hatari
 
Uzuri ni kwamba kila unavyopata kidogo ndivyo unavyokuwa na akili ya kujiendeleza kiuchumi...
 
Hiyo CWT inakufyeka weee halafu ukistaafu wanakupa mkono wa kwa heri 400K.😁.

Tena unaisotea kuipata.
 
Dogo mimi ni mwalimu was diploma kisha nikapiga uchumi nipo Halmashauri !!! Acha kuota hali sio
Sawa mkubwa ila poole naona hapo kwenu wanakubana
Miradi ya maendeleo nani anakwenda kukagua pamoja na mkuu wa idara?
Budget anaenda nani?
Trainning za mifumo kwenu pia hawakupi?
Basi tafuta namna uhamie hata Tamisemi au wizarani kabisa
 
Nyie mmekariri maisha njooni huku duniani muone!!! Eti mchumi wanaenda training!!! Yani ni!!! Nani kakudanganya!?? Hiyo training ya kila mwezi!! Pole sana
Ha aha
Sawa ndugu,
Lakini opportunities za economist ni nyingi kuliko mwalimu na ni obvious labda ubishe tu,
Watafute wenzio wa halmashauri zingine wakupe uzoefu,
 
Hapo mwalimu anazidiwa kidogo na kada za Afya na Engineering.

Lakini taaluma nyingine zote kama Acccountancy, sociology, Mchumi, Maafisa Maendeleo, Kilimo, HR, Afisa Utumishi, WEO/VEO, sheria wote kwa walimu wanasubiri.

Mishahara ya walimu siyo midogo.

Walimu wanachojua ni kujiliza liza kama mbweha tu.
Mawazo ya kipiglet! Kinachoangalia ni pato halisi mtu analorudi nalo nyumbani . Wengine mishahara inaonekana midogo lakini nyuma ya pazia wamefungasha posho zisizo na idadi na hivyo mwisho wa siku mwalimu na hiyo inayoonekana mshahara mkubwa , inakuwa kama kaambulia machicha !!!
 
F1 ni daraja. Mtu anapanda baada ya kufanya kazi miaka kadhaa.

Yaani wale wa kwenye 419,000 wanenda kwenye 530,000 na wale wa 530,000 wanaenda kwenye 716,000 huku wale wa 716,000 ndio wanaenda kwenye 940,000.

Hii Tsh 940,000 ndio daraja la F1.

Kama huwa unasikia kuoandishwa madaraja ya watumishi ndio haya. Na kila mtumishi ana haki ya kupanda kila baada ya miaka 4.
Upo sawa, isipokuwa ajira ya Kwanza unapanda baada ya miaka 4,na baada ya hapo unapaswa upande daraja Kila baada ya miaka 3.
 
Back
Top Bottom