S shaniyu JF-Expert Member Feb 18, 2017 335 238 Aug 6, 2021 #1 Wapendwa naomba kujuzwa ngazi ya mshahara scale 4 ya BRELA ni shilingi ngapi
Liverpool VPN JF-Expert Member Aug 29, 2020 5,795 13,035 Dec 12, 2021 #3 shaniyu said: Wapendwa naomba kujuzwa ngazi ya mshahara scale 4 ya BRELA ni shilingi ngapi Click to expand... Ulipata jibu? Naomba kujua wa Scale 5. #YNWA
shaniyu said: Wapendwa naomba kujuzwa ngazi ya mshahara scale 4 ya BRELA ni shilingi ngapi Click to expand... Ulipata jibu? Naomba kujua wa Scale 5. #YNWA
Naki 12 JF-Expert Member Mar 19, 2016 1,232 1,238 Jan 20, 2022 #4 duh hamna aliyekuja kujibu. anayejua wa scale 6 tafadhali
Liverpool VPN JF-Expert Member Aug 29, 2020 5,795 13,035 Jan 20, 2022 #5 Naki 12 said: duh hamna aliyekuja kujibu. anayejua wa scale 6 tafadhali Click to expand... Scale 6 najua hupata wale bachelor zao ni miaka 4 (zaidi ya miaka mi3) kama law na engineers. Ila kiwango halisi SIJUI...!!! #YNWA
Naki 12 said: duh hamna aliyekuja kujibu. anayejua wa scale 6 tafadhali Click to expand... Scale 6 najua hupata wale bachelor zao ni miaka 4 (zaidi ya miaka mi3) kama law na engineers. Ila kiwango halisi SIJUI...!!! #YNWA