Viwango vya gharama za usafiri na mizigo kwa uzito na umbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwango vya gharama za usafiri na mizigo kwa uzito na umbali

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by gambakuffu, Aug 22, 2011.

 1. gambakuffu

  gambakuffu JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Asalaam Aleykhum,

  napenda kuuliza kwa anayefaham mf. mtu umepangiwa kituo cha kazi na mwajiri anatakiwa akulipe kiwango cha fulani cha gharama kusafirisha mizigo yako kutoka ulipo. je, km kuna taarifa za viwango hivyo pamoja na umbali husika, msaada tafadhali mfano kwa tani 3 za mizigo kwa kilometa ni kiasi gani
   
 2. LACHERO

  LACHERO JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 436
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Kufuatana na waraka mpya wa serikali kwa watumishi wa umma wa July 2009, gharama ya kusafirisha mizigo isiyozidi tani tatu ni Tshs 1,000.00 per km.
   
Loading...