Viwanda zaidi ya 3000 na vilivyokufa vimefufuliwa. Tupeane taarifa ya viwanda hapo ulipo

Tunarudia tu hakuna anayebisha kwamba kuna viwanda, ila havifiki 3000+. Ni kweli vipo lakini havizidi 50. Hebu wewe ukiweza jaribu kupiga picha wangalau viwanda 10 tu. Viwanda 3000+ mji mzima wa Dar vijana si wangezizima kwa maelfu kwenda kupiga vibarua. Hata mama lishe tungewaona wakienda kuuza msosi kwa vibarua. Pia tungeona nyumba nyingi za makazi kwa ajili ya watu watakaokuwa wanafanya kazi viwandani. Ingekuwa na nyomi kama ile tunayoonaga watu wakigundua migodi yenye madini ya thamani kubwa.
vipo zaidi ya hivyo kumi ulivyotaka ila mda wakupiga picha sina. vingi ndo vinajengwa nafikiri kuanzia mwakani ndo vitaanza uzalishaji.
 
Watu wamenyeshwa mbuzi soda baada ya kuuza korosho, na watu wamevuna nyanya zikakosaha wanunuzi mpaka ng'ombe wanazila picha tumeziona. Itakuwa hivyo viwanda ambavyo sasa hivi ndio habari ya mjini? Au ndio mnangoja mtuletee suprise. Nipe ramani ya kiwanda chochote nije kuwa babalishe kwa vibarua wa hapo viwandani nijionee mwenyewe. Wewe huna muda wa kupiga picha mimi nitakuwa nao na kukata kiu ya watanzania.
 
sa sikia, let make deal lipa laki 5 nifanye hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom