Viwanda vya Sukari vyakana kupaisha bei

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12799149_1047526931978431_3115713300420612372_n.jpg

Afadhali maana huu uzushi ulikuwa ukisambaa kwa kasi wakati dukani bei ya sukari ni ile ile, Serikali iwe makini na wanaozusha mambo wakati mwingine wanafanyabiashara hutumia kusambaza uzushushi ili wapate fursa ya kupandisha bei
 
Suala siyo viwanda kupandisha bei ya sukari, ila wao walilalamika kutaka sukari inayotoka nje ipigwe marufuku kwani inaua biashara zao, sasa ombi lao limekubaliwa, matokeo yake wanashindwa kutosheleza mahitaji ya sukari, tutatoa kila sababu, kwa mfano wafanya biashara wanaficha sukari, lakini haihitaji uwe na PHD kujua kuwa hii ni kwa sababu demand ni kubwa kuliko supply. Kilichotakiwa kufanywa ni kutangaza mabadiliko ya mamlaka ya utoaji vibali vya kununua sukari ya nje na siyo kupigwa marufuku uagizaji wa sukari ya nje. Hicho pia ndicho kimesababisha pia sukari kupanda.
 
sio wameshindwa kutosheleza mahitaji. kuna watu wanahodhi sukari kwenye maghala kuifanya adimu, bei ipande then serikali itoe vibali vya kuingiza kwa kisingizio cha uhaba. sukari inayotoka nje ina pesa kuliko hata mafuta hasa msimu unapoisha. watu wanataka ulaji. hujui gemu ya sukari!
 
Back
Top Bottom