Viwanda vya Diapers (pampaz) na Kondomu vijengwe nchini

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,325
36,121
Katika hali ya kutengeneza ajira zaidi na kubana matumiz (gharama kubwa ya uagizaji) ni nigependekeza viwanda vingi vitakavyojengwa viwe vya;

1. Diapers (ukizingatia ongezeko la watoto, wagonjwa)

2. Kondomu (mahitaji ni makubwa sana ukizingatia ongezeko la idadi ya watu nchini, karibia milioni 50).

NB: Viwanda hivi ni "Labour-Intensive" kwa hiyo vitaajiri vijana wengi zaidi na pia soko ni kubwa hasa la diapers maana hao hao vijana ndo wateja wakubwa wa "diapers" huko mbeleni.
 
Kwa "Michezo" ya vijana wa kisasa hilo la Viwanda vya diapers kujengwa nchini itasaidia sana maana ndani ya miaka 5 hii vijana wengi watahitaji hizo mavitu kama wanavyohitaji sukari sasa
 
tunahitaji vijana wenye uadilifu, wafanyakazi hodari na wasio na vinasaba vya wizi na kulalamika katika kujenga uchumi wa viwanda.
 
kutengeneza Diapers ni nafuu zaidi kuliko toothpick na pia diapers ina wateja wengi sana
 
Wazo zuri make tushaambiwa kufyatua tu, Ila hivo viwanda sasa ni vya kusadikika tu
 
Kwa "Michezo" ya vijana wa kisasa hilo la Viwanda vya diapers kujengwa nchini itasaidia sana maana ndani ya miaka 5 hii vijana wengi watahitaji hizo mavitu kama wanavyohitaji sukari sasa
Mmmmh kweli janga la kitaifa.
 
Back
Top Bottom