englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Hii imetulia. Like 0ne million.Usishangae ndugu ndivyo shetani afanyavyo kazi kwa kasi katika siku hizi za mwisho hasa kuhakikisha anawapoteza vijana wengi. na wasanii wengi ulaya marekani wametumika kama MEDIA, kwa njia hii. most of them are devil worshipers na ni mawakala wa kile shetani anachotaka kiufikie ulimwengu kwa haraka. kumbuka hawa wasanii Ndio Dunia imewafanya role models wao, na shetani analijua hilo.
Si ajabu msanii flan Tanzania kesho ukamuona kavaa kwa style {mtindo} kama huo kwasababu tu kamwona huyo alipanda kuchukuwa tuzo akiwa na nguo ya aina hiyo, Ref style za vijana na wasanii kupiga picha wakiwa wanaonesha V symbol.
Nanisiende mbali kwa wasanii, kuna binti mmoja mahala flani wenda hata Tanzania, akiiona picha hii ataitafta au atashona mtindo huo na kesho ataingia nayo arusini, kitchen part au club kisa kakopi style, in such a way devils mission inakamilika.
Satanism inaenezwa kwa kuwatumia watu maarufu kwa maana ndio waufunzao ulimwengu hasa kwa kizazi hiki.
God bless Ur ppl
dah! mkuu umeandika li-ujumbe la maana kinyama.., nilitaka kubofya like mara mia lakin nilipopiga mara moja ikaniandikia unlike. anyway ngoja nifanye hivi LIKE X 1000000000Usishangae ndugu ndivyo shetani afanyavyo kazi kwa kasi katika siku hizi za mwisho hasa kuhakikisha anawapoteza vijana wengi. na wasanii wengi ulaya marekani wametumika kama MEDIA, kwa njia hii. most of them are devil worshipers na ni mawakala wa kile shetani anachotaka kiufikie ulimwengu kwa haraka. kumbuka hawa wasanii Ndio Dunia imewafanya role models wao, na shetani analijua hilo.
Si ajabu msanii flan Tanzania kesho ukamuona kavaa kwa style {mtindo} kama huo kwasababu tu kamwona huyo alipanda kuchukuwa tuzo akiwa na nguo ya aina hiyo, Ref style za vijana na wasanii kupiga picha wakiwa wanaonesha V symbol.
Nanisiende mbali kwa wasanii, kuna binti mmoja mahala flani wenda hata Tanzania, akiiona picha hii ataitafta au atashona mtindo huo na kesho ataingia nayo arusini, kitchen part au club kisa kakopi style, in such a way devils mission inakamilika.
Satanism inaenezwa kwa kuwatumia watu maarufu kwa maana ndio waufunzao ulimwengu hasa kwa kizazi hiki.
God bless Ur ppl
Usishangae ndugu ndivyo shetani afanyavyo kazi kwa kasi katika siku hizi za mwisho hasa kuhakikisha anawapoteza vijana wengi. na wasanii wengi ulaya marekani wametumika kama MEDIA, kwa njia hii. most of them are devil worshipers na ni mawakala wa kile shetani anachotaka kiufikie ulimwengu kwa haraka. kumbuka hawa wasanii Ndio Dunia imewafanya role models wao, na shetani analijua hilo.

Nimeupenda huu msemo!Zamani ilikuwa huwezi kuliona t@ko bila kufunua chup. Siku hizi huwezi kuiona chup bila kufunua t@ko.
Zamani ilikuwa huwezi kuliona t@ko bila kufunua chup. Siku hizi huwezi kuiona chup bila kufunua t@ko.