viwalo vingine bwana

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,253
6,207
toni2.jpg
 
Usishangae ndugu ndivyo shetani afanyavyo kazi kwa kasi katika siku hizi za mwisho hasa kuhakikisha anawapoteza vijana wengi. na wasanii wengi ulaya marekani wametumika kama MEDIA, kwa njia hii. most of them are devil worshipers na ni mawakala wa kile shetani anachotaka kiufikie ulimwengu kwa haraka. kumbuka hawa wasanii Ndio Dunia imewafanya role models wao, na shetani analijua hilo.

Si ajabu msanii flan Tanzania kesho ukamuona kavaa kwa style {mtindo} kama huo kwasababu tu kamwona huyo alipanda kuchukuwa tuzo akiwa na nguo ya aina hiyo, Ref style za vijana na wasanii kupiga picha wakiwa wanaonesha V symbol.

Nanisiende mbali kwa wasanii, kuna binti mmoja mahala flani wenda hata Tanzania, akiiona picha hii ataitafta au atashona mtindo huo na kesho ataingia nayo arusini, kitchen part au club kisa kakopi style, in such a way devils mission inakamilika.

Satanism inaenezwa kwa kuwatumia watu maarufu kwa maana ndio waufunzao ulimwengu hasa kwa kizazi hiki.

God bless Ur ppl
 
Hii imetulia. Like 0ne million.
 
dah! mkuu umeandika li-ujumbe la maana kinyama.., nilitaka kubofya like mara mia lakin nilipopiga mara moja ikaniandikia unlike. anyway ngoja nifanye hivi LIKE X 1000000000
 
Yaani ulimwengu wa sikuhizi ni vituko vitupu. Watu wamekuwa wapinzani wa matakwa ya Mungu. Kila wanachokatazwa ndio wanafanya juhudi kukifanya. Wanawake wameamrishwa wajistiri miili yao wao sasa wanaiweka uchi, watu wameambiwa msiguse kabaaaang hata kwa mkeo wao ndio imekuwa mtindo hadi kufungishana ndoa za wanaume watupu. Sijui mwishowe itakuwaje! Ndio maana baadhi ya mafundisho ya dini yanaeleza kuwa kundi kubwa litakaloingia jehannam ni wanawake.
 
Usishangae ndugu ndivyo shetani afanyavyo kazi kwa kasi katika siku hizi za mwisho hasa kuhakikisha anawapoteza vijana wengi. na wasanii wengi ulaya marekani wametumika kama MEDIA, kwa njia hii. most of them are devil worshipers na ni mawakala wa kile shetani anachotaka kiufikie ulimwengu kwa haraka. kumbuka hawa wasanii Ndio Dunia imewafanya role models wao, na shetani analijua hilo.

Si ajabu msanii flan Tanzania kesho ukamuona kavaa kwa style {mtindo} kama huo kwasababu tu kamwona huyo alipanda kuchukuwa tuzo akiwa na nguo ya aina hiyo, Ref style za vijana na wasanii kupiga picha wakiwa wanaonesha V symbol.

Nanisiende mbali kwa wasanii, kuna binti mmoja mahala flani wenda hata Tanzania, akiiona picha hii ataitafta au atashona mtindo huo na kesho ataingia nayo arusini, kitchen part au club kisa kakopi style, in such a way devils mission inakamilika.

Satanism inaenezwa kwa kuwatumia watu maarufu kwa maana ndio waufunzao ulimwengu hasa kwa kizazi hiki.

God bless Ur ppl

hujakosea, hebu angalia hilo pazia lina nini? lina alama ya jicho ambayo ni alama ya freemasons! kazi mojawapo ya hao jamaa ni kuifanya jamii kuwa waasi kwa kufanya yaliyo machukizo kwa Mungu. kuwafanya watu kuwa waasherati na wazinzi! ndivyo ilivyo picha ya huyo mwanadada!
 
Usishangae ndugu ndivyo shetani afanyavyo kazi kwa kasi katika siku hizi za mwisho hasa kuhakikisha anawapoteza vijana wengi. na wasanii wengi ulaya marekani wametumika kama MEDIA, kwa njia hii. most of them are devil worshipers na ni mawakala wa kile shetani anachotaka kiufikie ulimwengu kwa haraka. kumbuka hawa wasanii Ndio Dunia imewafanya role models wao, na shetani analijua hilo.

Si ajabu msanii flan Tanzania kesho ukamuona kavaa kwa style {mtindo} kama huo kwasababu tu kamwona huyo alipanda kuchukuwa tuzo akiwa na nguo ya aina hiyo, Ref style za vijana na wasanii kupiga picha wakiwa wanaonesha V symbol.

Nanisiende mbali kwa wasanii, kuna binti mmoja mahala flani wenda hata Tanzania, akiiona picha hii ataitafta au atashona mtindo huo na kesho ataingia nayo arusini, kitchen part au club kisa kakopi style, in such a way devils mission inakamilika.

Satanism inaenezwa kwa kuwatumia watu maarufu kwa maana ndio waufunzao ulimwengu hasa kwa kizazi hiki.

God bless Ur ppl

You are a lie.. Wale wagadzabe wanaoziba uchi zao huku afrika nao unawazungumziaje?
 
na ma-dizaina nao wanatumiwa na shetani ili kutunga mitindo ya kishetani.
Ebu tumhofu Mungu jamani na kuzikataa mbinu anazotumia ili kuwateka wengi!
 
Mngejua kuwa si huko tu hata huku kwetu dada zetu wengi tu wanatamani kujiachia namna hiyo,tatizo linakuja pale maustaadh wanapowashikia bakora na kuwachania viwalo vyao, lakini si kuiga wala kitu gani basi tu mimtu ya miaka hii ilishachanganyikiwa kila kona....
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom