Vivek Kundra: Obama's first federal IT chief pick mwana wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vivek Kundra: Obama's first federal IT chief pick mwana wa Tanzania

Discussion in 'Celebrities Forum' started by epigenetics, Mar 11, 2009.

 1. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2009
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Jamaa amekulia bongo.

  Vivek Kundra is the current Federal Chief Information Officer (CIO) of the United States of America. He has indicated that he will also have the role of the Office of Management and Budget administrator for e-government and information technology. He served in Washington, D.C. Mayor Adrian Fenty's cabinet as the Chief Technology Officer for the District and, before that, as Virginia's Assistant Secretary of Commerce and Technology in Governor Kaine's cabinet.

  Early Life

  Vivek Kundra was born in New Delhi, India. His parents immigrated to Tanzania, where he grew up. Kundra speaks Swahili as his first language. His family moved to the United States when he was 11 and he grew up in Gaithersburg, Maryland.

  Career

  He has been recognized by InfoWorld among the top 25 CTO's in the country and as the 2008 IT Executive of the Year for his pioneering work to drive transparency, engage citizens and lower the cost of government operations. In 2007 he assembled the largest United States trade delegation ever to visit India, comprised of over one hundred business leaders, which resulted in a $99 million investment for the state of Virginia.

  He has been recognized for his work in developing programs to spur open source and crowdsourced applications using publicly accessible Web services from the District of Columbia with an initiative called Apps for Democracy. His efforts to use cloud-based Web applications in the District government have been considered innovative within government.

  Mr. Kundra is advising President Barack Obama's transition committee on technology issues.

  He was reportedly considered as one of the possible candidates for the position of Federal Chief Technology Officer[9] as well as other positions. However he was officially named by President Obama on March 5, 2009 to the newly-created post of Federal CIO. (The Chief Technology Officer and the Chief Information Officer have different roles.)

  Education

  Kundra earned a degree in psychology and a masters degree in information technology from the University of Maryland. He is a graduate of the University of Virginia's Sorensen Institute for Political Leadership.


  Sources:
  Vivek Kundra - Wikipedia, the free encyclopedia

  President Obama Names Vivek Kundra Chief Information Officer | The White House

  D.C. Tech Chief Tapped for White House Slot

  Vivek Kundra: Federal CIO in His Own Words - O'Reilly Radar

  D.C.'s Kinetic Tech Czar

  Political Leaders 2007 Profile: Vivek Kundra | Sorensen Institute

  2008 InfoWorld CTO 25: Vivek Kundra, District of Columbia | Adventures in IT - InfoWorld

  http://www.techcouncilmd.com/News/tcmnews_110708.html

  http://www.gcn.com/print/27_28/47565-1.html

  Choices Narrowed for First U.S. CTO - Businessweek

  Kundra to be next e-gov administrator - FederalNewsRadio.com
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo kama kakulia tanzania?
   
 3. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2009
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  "Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako.........."
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Mar 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Could this guy be Raj Patel aka The Truth?

  Raj, where are you?
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2009
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yah niona inaongea swahili as his first language.........................kaja US akiwa na miaka 11 kutokea bongo.

  Kuna mtu anauliza kuwa ikiwa mbongo ndio nini?Ni kwamba inatia moyo kwa wadogo zetu na sisi wenyewe kuwa ukiwa na juhudi unaweza kufanya chochote dunia na kuwa yeyeto bila kujari umetokea wapi.
  Watu wengi wanadhani vitu fulani ni kwa watu fulani tu ila mambo kama haya yanatia moyo.
   
 6. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mmmh good move!!Next time we bringing NBA PLAYER OF THE YEAR from TZ!!Thabeet
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nna hamu sana kumsikia huyu ze ukweli!
   
 8. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mambo yanawezekana, sisi tumebweteka na hatujiamini. Watanzania tunatakiwa tuwe front kwenye mambo mengi.
   
 9. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Hongereni watz, tuna watu wengi mashuhuri na experts nje ya mipaka yetu, kama vile miaka kadhaa iliyopita niliambiwa director wa World Bank Institute alikuwa ni dada wa kitz, engineer na anarudi bongo kwa ajili ya likizo yake na familia yake inaishi hapa.
  Tuna experts wengi wanaotambulika, wangerudi nyumbani kujenga nchi tungefika mbali.

  Nyani .... huyo Truth si unajua ni kama wewe GOP damu, hawezi kumfanyia kazi Obama maana machoni kwake watu weusi wana hadhi ndogo sana, so labda huyu Kundra ni ndugu yake na ndo maana he is so bitter?!
   
 10. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hii ni changamoto kwa kila mtu,ninavyojua mimi ni kweli tukifuatilia tuna wataalam wengi nje ya nchi ambao asili yao ni TZ;lakini,kuja kufanya kazi Tz inawawia vigumu kutoka na miundombinu na mipangilio mibovu na ndiyo maana mtu akienda huko hafikirii sana kurudia kuja kuweka nguvu yake.
  Endapo tutaachana na ubabaishaji na kufanya vitu kama zimamoto/nguvu ya soda;ni wazi kwamba watakuja wao na wenzao wengine kutoka huko(nje).
   
 11. Makalangilo

  Makalangilo Senior Member

  #11
  Mar 12, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jina lake lingekuwa Manyanda ingekuwa poa.
   
 12. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2009
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Naaaaaam!

  Jamaa kazaliwa Delhi - ni mdosi tuu.

  Hivi mimi nikikulia Delhi kisha nikapata janta (kazi) la uhakika hapo DC, wadosi watanifagilia na kuniita mwanao wakati pua langu ni lakibantu?
   
 13. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  FBI wameshaanza search ofisini kwa huyu Jamaa na computers zake zote, I hope sio yeye aliekuwa anajiita Truth yule muhindi racist. Hapa ni soo ............
   
  Last edited: Mar 12, 2009
 14. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Juzi yule dada wa kihindi alishinda umiss Tanzania..kidogo watu waandamane....kwamba itawezekanaje ponjoro akawawakilishe wabantu....Leo Ponjoro aliyekaa Tanzania kwa mda na wala siyo hata mzaliwa wa bongo..kapata kazi yenye profile kubwa..watu tunaanza kusema ooh..jamaa anaongea kiswahili..sijui kaaa tanzania..Ilmradi tupate namna ya kuji-associate naye..Duh..njaa zetu mbaya!  Masanja,
   
 15. k

  kizimkazi Member

  #15
  Mar 12, 2009
  Joined: Mar 10, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  labda! unachosema lakini sijui,kama lamwai alikuwa mmbunge ubungo na angeshauriwa arudi kijijini alikozaliwa akawe katibu tarafa lingewezekana hilo? kama lingewezekana basi tuangalie na hao wanaoteuliwa na obama wanaweza kuja bongo kutumikia taifa.
   
 16. T

  The Truth JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2009
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No that's not me but I wish Vivek all the best. His accomplishments show that if Bantus in Tanzania or throughout East Africa are ever to progress (economically or socially), you will do it on the backs of Asians. Asians are the pioneers and the trendsetters in East Africa. For example, Asian businessmen paved the way for Bantu enterpreneurs such as Mengi. Just once in a while we would like to see gratitude from the Bantus as opposed to animosity and distrust towards the Asian community. We are really not the enemy or the primary source of your problems.
   
 17. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mpaka lini wa Tanzania tutaendelea kuwa Naive kinacho sifawa hapa kuwa huyu jamaa aliishi Tz ni sawa na kusema jirani yangu anajumba kubwa lakupendeza unasifia jirani yakoukiwa unaishi ndani ya kijichumba kwenye familia zaidi ya 5 au baadhi yenu mnasema eti tunawatz wengi wenye vipaji vikubwa sasa jiulizeni wapo wapi?? kama wao wanahisia kama zenu kwanini leo hii wasiseme wakati umefika elimu na ujuzi tulionao tukawasaidie wale waliokuwa kule nyumbani acheni itikadi mbovu hizo nisawa na wale wanaoamini mganga ndie atakaebadilisha maisha yake nini sisi tuliokuwapo hapa Tanzania na kuitumikia nchi kwa kuijenga ndio wakufurahiwa na kupongezwa hao watu mnaowataja wanakuja hapa TZ kama ni watalii funguweni vichwa vyenu
   
 18. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Now i am waiting for racist comments against him. Sisi ndivyo tulivyo hata sisi wenyewe tunajidharau, hata mwenzetu badala ya kumuunga mkono tuinaweza kuanza kusema ahhh yule naye hamna kitu, kwanza ngozi yake, jina lake na na na..
   
 19. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  basi tu watu wapate la kujisfia, haya wakenya walifanya mapumziko siku nzima kusherehekea mambo yasiyo wahusu na ziki yote ile, na wa tz kama mshapata za kizush zush fanyeni japo nusu siku bas..........
   
 20. M

  MtuKwao Senior Member

  #20
  Mar 13, 2009
  Joined: Oct 7, 2006
  Messages: 190
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Spear Nakuunga mkono.

  Kama kweli anaji-identify na Tanzania angewaleta hao wawekezaji kutoka Marekani waje kuwekeza Tanzania. Tunaona aliwapeleka India! Kwa hiyo ni Mhindi, siyo Mtanzania, na kwamba katika maisha yake aliwahi kukaa Tanzania siyo jambo la kushangilia.

  Hawa wenzetu, kama tunaweza kuwaita hivyo, hawajiiti wala hawapendi kujiita Watanzania wakiwa huko nje (nina ushahidi) pia wanaona hawastahili kuishi huku, hapa ni pa kuchumia tu, kisha waende zao Canada n.k... Wengi wa hawa ndiyo wale wanaotaka Dual Citizenship kurahisisha mambo yao!

  Nafikiri Watanzania tuna tatizo la kutojiamini, kama alivyosema Spear. Kauvivu nako kapo, tunafikiri na kungoja muujiza wa maendeleo kutoka nje. Msaada kutoka nje. Maendeleo hayaji kwa miujiza, kama wanaowauwa Albino wanavyofikiri, wala hatuwezi kuletewa, ni kazi yetu sisi wenyewe!

  Kweli, tufungueni vichwa vyetu, kisha tufunge mkanda, tuanze kazi.

  Tukianza kujenga tabia ya kuchukia misaada na kuombaomba tutagundua kwamba jukumu la maendeleo ni letu sisi wenyewe!

  Nawasilisha!
   
Loading...