Vivazi vya kutupia kwa mama wajawazito....!

mimba imeingia anga za fasheni unaweza kuwamua kuvaa mdoli leo kesho hauna re NISHA
 
Na hayo ma cosmetics hivi hayana effects kwa mtoto? Mfano mama kijacho kuweka dawa kichwani,malipustiki, malotion makali hivi yanamuathiri mtoto? Bora mtu ukawa natural maana navyosikia unachokula mama na mtoto anakula sasa what about hizo cosmetcs?
kuwa natural ni tabia ya mtu, tena ni aghali kdogo depends na ngozi yako!
 
Dah. Nisije nikasema I miss being pregnant kikatiki.

Napenda kuvaa mini dress ambazo sio tight na viatu vyenye heels ambazo sio ndefu.

Pregnancy is a wonderful feeling.
Shost upo?
Miss you sana sana
 
Vazi la mimba teneti au dela, vingine mbwembwe, hivi kwanza hawajisikii kubanwa banwa
Mjamzito vaa nguo pana, viatu vifupi ndio utakuwa komfotabo
 
Kuvaa nguo juu ya magoti binafsi mi naamin sio jambo zur kwa mke wa mtu,,
 
Back
Top Bottom