Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

sio kila anae kugia makofi ukaza wanakupongeza wengine wanataka uwai kumaliza maana unawapgia kelele usiishi kwa kukalili
 
Wananchi walio wengi ambao ambao hawaijui wala kushabikia siasa za mitandaoni wana imani kubwa na serikali ya chama cha mapinduzi.

Ushaidi ni namna rais anavyosimamishwa wakati wote akiwa ziarani

Wananchi walio wanyonge kama Mimi tuna imani na kwa hakika serikali chini ya chama
Imara inatatua kero zetu nyingi.

Kasoro hazikosekana maana kwenye wengi pana mengi,ila juhudi zinaonekana.

Rome haikujengwa siku moja.
Tujenge nchi kwa kasi.

Na kwa namna wananchi walivyo onesha mapenzi kwa chama ktk uchaguzi mdogo Wa madiwani na ubunge hivi karibuni.

Naomba Mungu atuweke 2020.
Asante sana mods kwa kuunganisha hii takataka na thread nyingine.
 
Baada ya chaguo la mungu kikwete kumaliza muda wake hakuna kiumbe mnafiki duniani kama mtanzania
 
Awamu ambayo alifurahia kuuza nyumba za serikali huku wakati mwingine akiendesha zoezi hilo kwa upendeleo!
 
Back
Top Bottom