Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mimi sioni ajabu sbb ni mambo yalipaswa yatimizwe mwaka 1970s lkn wajinga ndiyo wataona ni vipya. Ni sawa na mtoto unamuhaidi leo tarehe 05/05/2018 utamnunulia baiskel lkn unakuja kumpa baiskeli tareh 25/03/2030 unafikiri kwa mtoto mwenye akili atakuona wa maana? Ila mtoto mjinga ndiyo atafurahia.
 
Kichonge katka ubora wako VP teuz bado tu mkuu maana awamu hii umekazania kuipaka rangi jambo lolote la kiserikali umesahau kuwa n wajibu wa serikali kuleta maendeleo kwa wananchi kwan n kodi Yangu mm na wwe wala hatoi mfukoni mwake na akikopa walipaji n mm na wewe SIJUI UJINGA HUU UTATUTOKA LINI JAMANI
 
Tusiwe watu wa kulalamika sana, kwa changamoto kiasi tunazo zipitia katika utawala huu kwani mtawala ni mwanadamu na si malaika.
Heko zangu kwa awamu ya tano ni namna ilivyofanikiwa kubadili fikra za watu wake, watumishi wa serikali na viongozi kwa ujulma. Kila moja kwa sasa anatekeleza kauli mbiu ya hapa kazi tu kwa vitendo, kuna baadhi ya huduma zinaimalika kwa kasi kubwa sana hasa katika sekta ya afya (specifically) though kuna changamoto chache hasa za ukosefu wa watumishi, lakini upatikanaji wa dawa na usambazaji wa dawa kwa wakati umeimalika sana.
Mobilization of resources ni kipawa, but utilization of scarce for better results ni hekima.
 
Wadau,

Serikali ya awamu ya 5 imeamua kufanya kweli kwenye mapambano dhidi ya ufisadi.

Kila mwezi Serikali hiyo imeokoa tshs Bilioni 200 fedha zilizokuwa zikilipwa kama mishara hapo awali. Kwa sasa kila mwezi inalipa Tshs Bilioni 500 za mishahara badala ya Bilioni 700.

Pongezi nyingi kwa Rais Magufuli
 
Mojawapo Wa viongozi bora kupata kutokea katika Afrika!
Aina ya viongozi Wa caliber ya Magufuli hutokea Mara chache mno!
Na kwa hakika hakuna nchi iliyowahi kuendelea bila tabaka nufaika na mfumo Wa kinyonyaji kulalama!
Ni kweli hela chafu ilikuwa ikizangaa na kutapakaa nchi nzima na kuwafikia hata raia Wa kawaida!
Sasa wakati nchi inawekwa sawa malalamiko hayakosekani
Siwalaumu wanyonge wenzangu kwa kutolijua hili. Ukweli ni kuwa wengi tulikuwa tukila haramu.ni sawasawa na kula hela ya ujambazi bila kujua mfano mke nyumbani.

Hatujachelewa! Kumuunga mkono rais katika juhudi zake kuikomboa na kuibadili nchi yetu

Vita vya kiuchumi ni ngumu sana maana unagusa matonge ya watu!

Nina imani matokeo ya kile kinachofanyika Leo kitaonekana baadae
Ujenzi Wa miundo mbinu
Mfano reli madaraja barabara na vivuko kadhaa

Kuimarisha sekta ya afya

Kuboresha elimu

Kupambana na rushwa na ufisadi

Madawa ya kulevya

Kuimarisha usafiri Wa anga

Kuziba mianya ya mapato feki ktk madini

Mambo ni mengi sana.
 
Hahahahaa hahaahahaah Hahahahahaah HahaHahahaHa hahahahhaahaahaaha hahahahahahaha Hahahahha ah hahahahahahaha Hahahahha Hahaahah acha Wafu wazike Wafu wenzao!!!!
 
Back
Top Bottom