Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Rejea mafanikio makubwa katika sekta zote na hatua mbalimbali za utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015.

Chilonwa.
 
Hicho kikao cha wewe na watanzania wote kilifanyika lini hadi mkaadhimia hayo mambo?Acha kuwasemea watu.use critical thinking please.
 
Pongezi nyingi sana kwa mh rais pamoja na timu yake mungu aendelee kuwatunza mlisogeze taifa hili mbele zaidi
 
Aisee mkuu,serikali hii bado haijanufaisha jamii yangu kabisa.....maana yote yanayofanywa ni mazuri sijui Ndege,Reli etc ila yote hayo hayaja improve uchumi wa wanajamii yangu maana wanarudi nyuma badala ya kwenda mbele,mwendawazimu pekee au mwenye maslahi ndo anaweza sema uchumi upo vzr,ila mcha MUNGU atasema ukweli tu
 
Majungu,uzushi,porojo na takataka kibao. Aibu walionayo sasa wamegeuza gia maisha yako hatarini kutuondoa kwenye uzushi kutupeleka kwenye hofu ya movie. Kila movie mtatoa lakini mwamba anapiga kazi. Upigaji dili haurudi kamwe. Kuleni mapesa ya wakoloni mamboleo tuko imara kumlinda
 
Attachments

  • FB_IMG_1498368151434-1.jpg
    FB_IMG_1498368151434-1.jpg
    8.5 KB · Views: 47
Majungu,uzushi,porojo na takataka kibao. Aibu walionayo sasa wamegeuza gia maisha yako hatarini kutuondoa kwenye uzushi kutupeleka kwenye hofu ya movie. Kila movie mtatoa lakini mwamba anapiga kazi. Upigaji dili haurudi kamwe. Kuleni mapesa ya wakoloni mamboleo tuko imara kumlinda
Unasema Upigaji dili haurudi kamwe, Bilioni 1500 zipo wapi? Hata kama wamechukua CHADEMA sema tu... Maana ndo zenu
 
Back
Top Bottom