Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sadamu
Kwaalipo tufkisha hapa historia lazima itamkumbuka tuu hata asipokaza uzi unaousema,make kama sukari alikuta inauzwa 5000 yeye kafanya ishuke mpa 2800, kwanini asikumbukwe? Sadam Hussein kuwa raisi wa Kuwait kwanini asikumbukwe kwenye historia nakuwekwa kwenye front fed? Yaani huyu kashaingia kwenye kitabu cha Guineas tayari.
Sadam Husain alikuws raising wa Kuwait no kweli. No kweli kwa Iraqi chini ya Saddam. Maana hiyo ndiyo ilikuwa sababu kubwa ya kuivamia Kuwait. Na mwsnzo wa vita vya 1991. Saddam alikuwa Raising wa Kuwait kwa miezi saba baada ya kuivamia. = hivyo Saddam alikuwa raising wa Kuwait.
 
Hana jipya huyu magufuli ni wajinga na wapumbavu kama wewe Mtoa Uzi ndo mtamkumbuka kwa lipi LA maana alilofanya kwa manufaa ya wananchi kama si kuzidisha shida tu
 
Kusifu au kukosoa ni mtazamo wa mtu. Nakushangaa kama unalaumu emotional feelings wakati na wewe ukiwa humohumo ila kwa mtazamo tofauti! Huoni chochote chema alichokifanya Mheshimiwa Raisi ila mapungufu??? Utendee haki ubongo wako tafadhali.
Nimejumuika pia kiongozi,ndo maana nikasema hizi "emotional feeling"
Nadhani unajua kua bajeti yetu ni trilion 30 na inayofika kwa wadau ni 30%,hapo tunaona kuwa emotional feeling za kusifu ziwe na ukweli kiasi,utaskia mtu anasema usijilinganishe na Kenya kwa kujilinganisha na Lumumba ni kuutumia ubongo kiusahihi?,
Kwa hili bora akili yangu inatimiza malengo yangu ya mwaka na ya siku siyo ya ccm na ndoto za viwanda na kuishia kuwa mawakara wa kujumua wapinzani kwa Bujeti ya bilioni tano.
 
Wakati fulani tunaweza kusema tatizo la ufisadi na uporaji wa rasilimali zetu linatokana na mianya ya kikatiba na kisheria, hivyo tunahitaji Katiba mpya. Lakini ukitafakari kwa makini utagundua mbona sasa mafisadi na wabadhirifu wanakiona cha " mtema kuni" na Katiba ni ile ile, kumbe tatizo halikuwa Katiba bali aina ya uongozi. Basi mwaka huu 2018 tuunganishe nguvu zetu kumsaidia Rais Magufuli kuyatokomeza mafisadi na majizi yote na kuifanya ile hadithi ya shamba la bibi kubakia historia. Najua watuhumiwa wengi wa ufisadi wako lupango kwa sasa, lakini kuna wachache wamefichamia pahala fulani na wanatetewa kweli, basi watanzania kwa umoja wetu hima tuushinde ufisadi. Nawasilisha!
 
Ufisadi hautoisha kwa mwendo huu wa kiki. litahitaji mfumo (katiba) urejewe ili mafisadi wachukuliwe hatua wanazostahili. Mtoa hoja tupatie mfano wa mafisadi walio 'kiona cha moto'
 
Wakati fulani tunaweza kusema tatizo la ufisadi na uporaji wa rasilimali zetu linatokana na mianya ya kikatiba na kisheria, hivyo tunahitaji Katiba mpya. Lakini ukitafakari kwa makini utagundua mbona sasa mafisadi na wabadhirifu wanakiona cha " mtema kuni" na Katiba ni ile ile, kumbe tatizo halikuwa Katiba bali aina ya uongozi. Basi mwaka huu 2018 tuunganishe nguvu zetu kumsaidia Rais Magufuli kuyatokomeza mafisadi na majizi yote na kuifanya ile hadithi ya shamba la bibi kubakia historia. Najua watuhumiwa wengi wa ufisadi wako lupango kwa sasa, lakini kuna wachache wamefichamia pahala fulani na wanatetewa kweli, basi watanzania kwa umoja wetu hima tuushinde ufisadi. Nawasilisha!
Tupe mfano wa fisadi mmoja tu ambaye yuko lupango?
 
115 Reactions
Reply
Back
Top Bottom