Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Waliajiriwa wa Mahakama waliositishiwa ajira zao mwaka Jana wamerudishwa kazini wameambiwa kuripoti tarehe 01/08/2017 hakika ww ni Kiongozi mwenye utaratibu udumu milele watanzania tupo nyuma yako tunakuombea sana.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
ni aibu sana kwa kweli. yaani mtaani wananchi wamepigika huku serikali ikijitapa uchumi unakuwa.kwangu binafsi hata mkulu aondeke leo sina cha kupoteza. hali ngumu sana mtaani. wafanyakazi wanalia, wakulima taabani. wafanyabiashara wanajikongoja.
 
Hakuna kilichobadilika labda kama ulikuwa unaishi kwa madili.
Watumishi hatujakosa mshahara hata mwezi mmoja.
We jililie mwenyewe mkuu - inawezekana kupigika ni asili yako.
 
Waliajiriwa wa Mahakama waliositishiwa ajira zao mwaka Jana wamerudishwa kazini wameambiwa kuripoti tarehe 01/08/2017 hakika ww ni Kiongozi mwenye utaratibu udumu milele watanzania tupo nyuma yako tunakuombea sana.

Post sent using JamiiForums mobile app
Ukimuona nkanga chief mwambie tunamsalimia
 
Mimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji

Mtu sahihi kwako, mwambie ukanywe naye chai, Sisi watanzania hawamuhitaji JPM.
 
Watoka povu nawasihi uzi huu kaeni nao mbali.

Mimi jembelamkono nikiwa na akili zangu timamu na bila kishawishiwa na mtu yoyote,kuanzia leo tarehe 17/07/2017 natangaza rasmi kumuunga mkono amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.raisi John Joseph Pombe Magufuli.

Naahidi kuwa mwaminifu na mtiitfu kwa amri na maelekezo yote atakayo yatoa Mh Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Joseph Pombe Magufuli

Naahidi kua bega kwa bega kumshawishi ,kumpigia kampeni na kumchagua Mh raisi kugombea na kutawala tena kwa kipindi kingine KISICHO NA UKOMO,

Eehhh mwenyezi Mungu unisaidie.

Jembe la mkono.

Sent from my LG-LS980 using JamiiForums mobile app
 
Na quote kama ulivyoandika"Naahidi kuwa mwaminifu na mtiitfu kwa amri na maelekezo yote atakayo yatoa".Iko siku utageuzwa bwabwa na utakubali.
 
Afanye yake kwa nafasi yake basi ukomo ukifikia aondoke,Watanzania tupo wengi sana,atatokea huenda mzuri kuliko yeye
 
Mh Rais wangu Mpendwa John Pombe Magufuli salaam. Napenda kukupa hongera kwa Kazi nzuri unazozifanya. Binafasi nitaendelea kukuunga mkono.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom