Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wanatamani wasicho kijuwa. Kitanda usicho lalia huwezi juwa kunguni wake.Awaulize wabongo wanaojitambua.w.Wanatamani aondondoje madrakani hata leo.Nahisi ikuwa shangwe inchi nzima wanao jitambua.
 
Mungu ambariki sana Rais wetu Mpendwa azidi kudhibiti wezi na wanyang'anyi nchi hii!
 
nabii hakubaliki kwao, mimi sio mwanasiasa na wala sio msomi kivile kutegemea nipewe cheo na umri wangu umesonga sana kuoata kazi serekarini , nasema nilichosikia na kifupi sijioendekezi ila ukweli usemwe JPM anatamaniwa na nchi nyingi sana mengine yenu
 
Haha enyway time will tell shida unaweza ukawa una objective nzuri lakin ur procedures zikakuangusha aangalie hilo, upande wangu kubwa alilolifanya mpka sasa ni watumishi hewa, ndege sio jmbo kubwa kwa sasa mana wanapnda watu wenye vipato....pple needs good social services..also economically watu wanalia asilimia kubwa vipato vya chini
 
Mtoa mada umenena vyema. Hata mimi namwombea Rais wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuli neema na baraka tele.
Lakini pia namkubali kama ni rais mwenye nia njema kwa watanzania.
Naamini kuwa siku moja katika utawala wake atakuja kupata heshima ya juu sana Afrika na Kimataifa.
 
Raisi Magufuli ni kama alijua kwamba hawa watu wa chadema hawako kwa maslahi ya nchi, fikiria kama Mikutano kwa wasiochaguliwa isingepigwa marufuku sasa hivi tungekuwa, hatufanyai kazi, hatusali wala hatulali na akina Wema Sepetu mitaani na chadema, sasa wamehamia Mahakamani waache wabakie hapo hapo mpaka 2020!
 
Raisi Magufuli ni kama alijua kwamba hawa watu wa chadema hawana nidhamu na wala hawako kwa maslahi ya nchi, fikiria kama Mikutano kwa wasiochaguliwa isingepigwa marufuku sasa hivi tungekuwa, hatufanyai kazi, hatusali wala hatulali na akina Wema Sepetu mitaani na chadema, sasa wamehamia Mahakamani waache wabakie hapo hapo mpaka 2020!

Mbona kabla ya hapo wakati mikutano na maandamano yalikuwa ruksa mlikuwa mnafanya kazi, mnalala na kusali??? stop this nonsense.
 
Raisi Magufuli ni kama alijua kwamba hawa watu wa chadema hawako kwa maslahi ya nchi, fikiria kama Mikutano kwa wasiochaguliwa isingepigwa marufuku sasa hivi tungekuwa, hatufanyai kazi, hatusali wala hatulali na akina Wema Sepetu mitaani na chadema, sasa wamehamia Mahakamani waache wabakie hapo hapo mpaka 2020!
Msukuma unaweza kukutananae kafungwa Pingu mkononi ukimuuliza kunatatizo anakujibueti Doho shida wakati mkononi anapingu,Leo hii uje uniambie Magufuli ni Gineus? wadanganye akina Makonda ndio wanatoka misungwi + chato.
 
Huyu jpm jamani mi namadimire sana. Amewasambalatisha wezi wote kiasi ambacho nchi sasa imeparaganyika kila mtu amechanganyikiwa yaani hawaamini kinachotokea mpaka wanafikili ni nguvu ya soda bado ipo Siku atalegeza.
Wauza unga wote wameamua kuwalipa vijana ili kumuattack mitandaoni na kumtukana ovyo ovyo wakiongozwa na chadema ambacho kimebadili gia tena na kuanza kuwatetea wauza na watumia madawa kuwa wako sahihi.
Upinzani haujaamini haya yanayotokea kama yangetokana na ccm ambayo walikuwa wameshainyooshea mikono juu.
Wapinzani akiwemo zitto wameshikwa na bumbuazi mpaka na wao wanatukana ovyoovyo mitandaoni.
 
Wakati ukuta
 
Back
Top Bottom