Viva Ivory Coast

Omumura

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
476
18
Hatimaye jana Timu ya Ivory Coast imefanya kweli pale ilipoinyuka Ghana, hawa jamaa kama vile wanachukua kombe!
 
Jana wamefanya kweli lkn kwenye kuchukua kombe bado mapema kaka.

Si unakumbuka nao walianza kwa draw? bado kuna team kama Cameroon, Nigeria ambazo hatujaona zinakujaje mechi ya pili. Egypt nao si wa kubeza sana.
 
Ushabiki huu ni wa ukweli au kwa sababu ilipita bongo na hata JK akawahaidi support? Haya tusubirie kombe ilitakapopelekwa K'manjaro
 
yes wameshinda but bado sijaridhishwa na kiwango chao..wako slow sana wanacheza kwa uoga wasiumie
 
Hatimaye jana Timu ya Ivory Coast imefanya kweli pale ilipoinyuka Ghana, hawa jamaa kama vile wanachukua kombe!

So far sijaona mpira wao na ubora wa timu hii mbali ya kuona individial skills tu toka kwa mastaa wachache.

i'm not convinced - bado pamoja na kuwa wamesonga mbele.
 
Back
Top Bottom