Viuno na kujichubua kutwaa wanaume wamechoka, tafuteni mbinu mpya

Mhmm jitahidini kujifunza maujuzi ni kama hawaridhiki vile ni kawaida sana kwao kuacha maini na kutafuta dagaa zile chungu za vumbi wanaume hawabebeki hayo maujuzi mtamaliza mizungu ya kila nchi akiamua kutoka atatoka tu bt ni vema kujitahidi atlist apunguze tu.
 
Wala msitie shaka mie nakopi hadi nukta kazi kwako na BADILI TABIA kukariri,nishamkaririsha mamito snowhite na sasa anapractise na The Boss chezeya lekcha za nata mutoto ya fisadi ,muke ya mudhungu..
The Boss mwenyewe ana masomo mengi kha!sijui kama nitamaliza nae praktize!katoka havard karudi na matheory kibao huko,!nikishindwa nakuita!
 
Last edited by a moderator:
Watu mlivyomakini na lecture za Natalia nadhani mie na BADILI TABIA tutashika mkia class.

shauri yenu!si tumeamua kuwa makini japo na sisis tupate za kuchopchop!nyie kaeni na ubishi wenu!
 
Akha mie mzee wa 3sme simuwezi hata nikimeza madesa yote, akikushinda mwite ticha nata mamaaa ya kuvurugavuruga atamweka sawa....
The Boss mwenyewe ana masomo mengi kha!sijui kama nitamaliza nae praktize!katoka havard karudi na matheory kibao huko,!nikishindwa nakuita!
 
Last edited by a moderator:
Natalia wewe unafahamu vizuri lugha gani? Kweli kama hajui kuogelea samaki watamkula! ha haaaaaa

anaongea kihela kihela kitajiri
mimi na wewe watoto wa mkulima hiyo lugha hatuielewi
Natalia vipi yale madolari ya x-mass na mwaka mpya?ujue nakutegemea wewe applications nilishazifanya
 
Last edited by a moderator:
Natalia I beg to differ kdg, what do you say about them kuturidhisha na sisi.....it takes two to tango!
 
anaongea kihela kihela kitajiri
mimi na wewe watoto wa mkulima hiyo lugha hatuielewi
Natalia vipi yale madolari ya x-mass na mwaka mpya?ujue nakutegemea wewe applications nilishazifanya

Shosti amu usikose kunikatia vidolari kidogo Natalia akishakutumia.
 
Last edited by a moderator:
Muke ya Muzungu tajiri!!!



Hivi kutwaaa wanawake mkatie Mauno sijui nimempandisha juu nikamshusha.wanaume wako very visual na curious .mujaribu ya kichina kinugu kihaiti kirusi.mchanganye Siri ya kumfanya Mumeo aridhike uwe na ujuzi wako pekee.ata aende wapi hakuna anaejua hilo.mapenzi ni kama ukiwa na kiu .mkiendelea na aibu Za chumbani utakufa na ukimwi
 
Last edited by a moderator:
Ina hitaji ushirikiano wako ili uridhike! Swala la kuridhishana ni kazi ya wote! Umetoa mchango gani kuhakikisha unaridhishwa?
Una uhakika mwenzio nae ana ridhika? Unaweza ukawa una lalamika huku na mwezio ana lalamika kule!

Tendo linapaswa kufurahiwa na wenza wote ili kujua mwenzio kafurahia au lah, yakupasa kufunguka na kutoa ushirikiano!

Natalia I beg to differ kdg, what do you say about them kuturidhisha na sisi.....it takes two to tango!
 
Back
Top Bottom