Viumbe vilivyo hatiani kupotea

Ata wenye nywele za kiafrica mfano hapa mjini walishagaisha kabisa, katika mia unaeza kupata mmoja tu nae utakuta ametoka kijijin juz juz
 
Vidonge vya majira vimewapotezea wengi MAUMBO YAO....hiyo ni mbali na DAWA ZA MCHINA....
 
Tupo tumejaa tele km pishi la mchele, black natural color and slim. Najikubali na Ninajipenda na mwili wangu.
Tatizo nyie wanaume ndio chanzo mara tunataka wanene, mara White basi ukikuta na mwanamke hana msimamo matokeo yake anafuata unavyotaka ndio wanakuwa km hivyo.
Akuuu mie na msimamo wangu, marufuku kuyumbishwa.
 
Back
Top Bottom