Vitz ya Milango 3 kwa Tshs. Mil. 6 imetembea miezi mitano tu.-Ni kama mpya usidharau.

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,332
1,862

Toyota Vitz inauzwa kwa bei ya dharula Tshs. 6,000,000 (Milioni sita tu.)

Ni ya milango 3
(Sio milango 5)

rangi ya blue bahari.
Veeeery economical-
Toleo la T-XXX-CHC ( you can imagine upya wake)
Imetumiwa na mdada kwa miezi 5 tu inchini.
 
kuimagine bila image huu ni utani sasa, kama hiyo miezi mitano safari zake ilikuwa ni kuzunguka africa mashariki?

weka picha na odometer.
 
Toyota Vitz inauzwa kwa bei ya dharula Tshs. 6,000,000 (Milioni sita tu.)

Ni ya milango 3
(Sio milango 5)

rangi ya blue bahari.
Veeeery economical-
Toleo la T-XXX-CHC ( you can imagine upya wake)
Imetumiwa na mdada kwa miezi 5 tu inchini.

Kwa vitz hiyo bei si ya dharura taja bei ya huyo dada anayouza kesho tuongee biashara
 
CHC miezi mitano?

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Toyota Vitz inauzwa kwa bei ya dharula Tshs. 6,000,000 (Milioni sita tu.)

Ni ya milango 3
(Sio milango 5)

rangi ya blue bahari.
Veeeery economical-
Toleo la T-XXX-CHC ( you can imagine upya wake)
Imetumiwa na mdada kwa miezi 5 tu inchini.

Hiyo sio bei ya dharura, vtz ya milango 5 imeuzwa ml 5 kwa bei ya dharura sasa hiyo itakuwaje iwe bei hiyo? Sema bei ya dharura nikutafute, cc ngapi?
 
Back
Top Bottom