Vitz Rs (cc 1,298) 8km/L

Nelson06

Member
Feb 1, 2017
61
244
Wadau naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hili anisaidie, nimenunua vitz rs kwa mtu na katika kupiga mahesabu naona inaenda 8km per litre, sasa kwa uzoefu wangu ilipaswa angalau ifikishe 12km.

kama kuna mtu alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo ili kabla sijaipeleka kwa fundi niwe na idea ni kitu gani cha kufanya.
 
May be uendeshaji wako, Every time mguu upo kwenye floor.

Okay tukija upande mwingine, matatizo ya engine huwa na sababu common.

Engine ni system ambayo iko balanced. Hivyo chochote kikizingia hiyo balance inatoka.

Tukianza kutaja sababu za engine kula mafuta vibaya, sababu zitafika 20 na zaidi [Utaweza kuzibeba zote kama zilivyo?].
 
Mkuu nazingatia sana jinsi ya kukanyaga accelerator, na pia naendesha kistaarabu sana siajawahi kuzidi 3 rpm, hua naishia 2.5 ila mara nyingi ni 1.5 hadi 2 basi, labda hizo sababu nyingine nyingine...
 
Wadau naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hili anisaidie, nimenunua vitz rs kwa mtu na katika kupiga mahesabu naona inaenda 8km per litre, sasa kwa uzoefu wangu ilipaswa angalau ifikishe 12km.

kama kuna mtu alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo ili kabla sijaipeleka kwa fundi niwe na idea ni kitu gani cha kufanya.
Kuna shida kubwa hapo hiyo ni consumption ya engine kubwa
 
Tujuzane jinsi gani ya ku calculate hiyo rate sababu mi najazaga tu napiga misele kitaa kikiwaka najaza tena. So mnapataje kusema gari inakula mafuta lita moja kwa kilomita kadhaa?
 
sio kesi hata, chukulia mfano gari yako mafuta yapo very low, ukaenda sheli ukaweka lita kumi, ukatembea km 100 mafuta yakawa kama yalivyokua before (very low) means gari yako approximately inatembea 10km/l (100km/10ltr)
 
Tujuzane jinsi gani ya ku calculate hiyo rate sababu mi najazaga tu napiga misele kitaa kikiwaka najaza tena. So mnapataje kusema gari inakula mafuta lita moja kwa kilomita kadhaa?
Weka mafuta litre kadhAa Kisha nenda km kadhAa utajua
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom