Nelson06
Member
- Feb 1, 2017
- 61
- 244
Wadau naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hili anisaidie, nimenunua vitz rs kwa mtu na katika kupiga mahesabu naona inaenda 8km per litre, sasa kwa uzoefu wangu ilipaswa angalau ifikishe 12km.
kama kuna mtu alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo ili kabla sijaipeleka kwa fundi niwe na idea ni kitu gani cha kufanya.
kama kuna mtu alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo ili kabla sijaipeleka kwa fundi niwe na idea ni kitu gani cha kufanya.