Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Vitz ya Mwaka 2015 hiyo
na bei vimepanda sio mbili na nusu tenammesha acha kuziita vi baby walker? make tangu mkuu akaze vyuma naona adabu imerejea
Unainua tu hakuna kisichowezekana.Natamani ingekuwa juu kidogo