Vituo vya TV vyasusuia kutangazwa kuapishwa kwa mawaziri leo

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,429
Dear friends,
Have you noticed this? Baraza la Mawaziri linaapishwa Ikulu,even as I write this. Cabinet inaapishwa Ikulu at this very moment that I am writing this,lakini,so far,ni TBC1 peke yao ndiyo wanaotangaza live. ITV,Channel Ten,Star TV,Mlimani TV,hawatanagazi.
Maybe it a boycott,or maybe there ia a simple explanation to this.
 
Boycott ..si jamaa kaiba kura sasa anaapisha majizi menzie unadhani inakuwaje
 
Mlimani TV Live Mahafari ya UD nimesikia wanatangaza hapa ukumbini Mlimani city kwenye Graduation. MAJIZI HAYO WACHA YAPATE COVERAGE YA VIBARAKA WAO TBC MXiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
hivi jf ni kwajili ya chadema au? Maana kila mada ni kuhusu chadema ukiwapinga ndo basi wanaanza kukutukana,tuambie tujiondoe ambao hatuna chama
 
hivi jf ni kwajili ya chadema au? Maana kila mada ni kuhusu chadema ukiwapinga ndo basi wanaanza kukutukana,tuambie tujiondoe ambao hatuna chama

Clouds wanajipendekeza tu kwa serekali,kwanza station yenyewe ni ya entertainment iweje inaingilia siasa.
 
Ukiiba Kura na kuwa na Mafisadi kede kede kwenye baraza lako nani atakusikiliza. TV zinaonyesha kile ambacho watazamaji wanataka kuangalia hawawezi wakagilibiwa na huyu Mwizi kutoka Chalinze.
 
Wamekosa pesa ya kulipia baada ya pesa yooote kutumika kuwekea mabango yenye mvinyo wa zamani kwenye chupa mpyaa hhaaaaaaaaaaaaa
 
Afterall sura ya JK haina mvuto tena, ukiongeza na watu wanavyoichukia ccm ndo kabisa, hata kama wanaonyesha live watazamaji ni wachache hawana muda
 
Inawezekana wamesusa kweli, na inawezekana pia hawakupata taarifa mapema hivyo wakaendfelea na vipindi vyao kama kawa. Pia si unajua mvuto umepungua? Chema chajiuza, kibaya............................:target:
 
hivi jf ni kwajili ya chadema au? Maana kila mada ni kuhusu chadema ukiwapinga ndo basi wanaanza kukutukana,tuambie tujiondoe ambao hatuna chama

Sasa hii inauhusiano kani na thread? Si ungeanzisha thread yako? Madenti tunafeli pepa si kwa kutokuwa na akili bali kwa kutoelewa maswali, unaulizwa hivi unajibu vile! Kaaaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli!
 
hivi jf ni kwajili ya chadema au? Maana kila mada ni kuhusu chadema ukiwapinga ndo basi wanaanza kukutukana,tuambie tujiondoe ambao hatuna chama

.
U're a member to a certain organisation bana! Are U a roman catholic, lutheran, anglican or...?
 
Labda serikali haikuwa na pesa ya kulipa kwa vituo vingine zaidi ya TBC1
 
Back
Top Bottom