Vituo vya mafuta /supermarket za patco zafilisiwa!! Na crdb bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituo vya mafuta /supermarket za patco zafilisiwa!! Na crdb bank

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,239
  Likes Received: 3,153
  Trophy Points: 280
  Jamani nimepita pale juu benjamini mkapa POSTA opposite na posta mpya nikauliza jamaa wamenda wapi supermarket yetu ninunue mahitaji nikakutana najamaa chini akadai we hawa wamefilisiwa na sasa mali zote za jamaa zinamilikiwa na bank ya crdb,,si hilo tu nkapita pale sinza nikiwa na kadumu changu nikamwuliza jamaa akasema kweli kunajamaa wameletwa wa crdb ndio wanasimamia hiizi sheli na supermarket na kudai mwenye patco amefungua kesi mahakamani akidai kubugudhiwa

  swali je wahindi wanakopa mamiliona wanarudi na kupewa billion sisi ni kitu gan kinatufanya tufilisiwe na hizi bank
  patco ni muunganiko wa vituo vya mafuta vya bpp airport/sinza kijiweni na mwenge pale kituon..hope riz 1 atakuwa anasikilizia jamaa wanauza lini aongze list yake ..haya yetu macho nasikia wanaotaabaika ni wale waliokuwa wakienda kupeleka vitu wanaambiwa njoo siku fulani alafu vitu vyao vimeisha awaonekani na mbaya zaidi alikuwa akipata airport anakulipa we wa sinza unaenmsumbua same akiona wa hapa tankibovu mdeni anamsumbua anachukua za sinza anaakupa wewe ulie kaa kimya ndio hivyo unadaiwa na wewe baanki ya crdb ..kazi kwelikweli
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,421
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  duh pdidy punguza ganja:sick: utakua mwandishi mzuuuri mtumainiwa wa J.F
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,839
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Pdidy kuna kaharufu nakapata cz owner
  Kachoka siyo yule tuliyejuana ss hivi mizinga ya maji ya mende haiiishi
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,478
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  ha ha ha!.... I get like that s'times!,...Diddy hueleweki.
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,576
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Kweli. Yaani pamoja na uzoefu wote Pdidy anaandika kama ndiyo kwanza kahitimu kindergarten. Ni kama vile kuna vurugu fulani kwenye mawazo yake. Mada nzuri lakini kujieleza inakuwa taabu. Think first and communicate, you are supposed to be a great thinker.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,239
  Likes Received: 3,153
  Trophy Points: 280
  too late
   
 7. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,415
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ............naona hakuna uhusiano wa akili zako na unacho andika !:sick::horn:
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,239
  Likes Received: 3,153
  Trophy Points: 280
  nikiandika nakuwazawewe ma dear hapo ni shida tupu!!
   
 9. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 792
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mmiliki wa PATCO ni nani?
   
 10. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,397
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Who is Pdidy???????. CV please
   
 11. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nilipita kuchungulia tuu. Ntarudi baadae pakieleweka!!!!!!!!!
   
 12. K

  Karry JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  dah hii kali sasa hao wazalendo wanaodai ni muhimu kufuatilia chao mapema
   
Loading...