Vituo vya kupigia kura Ukonga vyaongezeka bila taarifa

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,429
32,173
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), kimeshangazwa na kitendo cha Tume ya Uchaguzi, kuongeza vituo vipya 16 vya kupigia kura katika Jimbo la Ukonga bila kueleza vilipo wala majina yake, huku wakihoji kwanini tume hiyo imeongeza vituo hivyo kutoka 659 vya mwaka 2015 hadi 675 mwaka huu wakati hakuna uandikishaji mpya uliofanyika. #KwanzaHabari
 
Tunainataka NEC,isimamie uchaguzi kwa mujibu wa sheria,hatupendi yajirudie mapungufu ya makusudi ya awali.Bado Tupo Watanzania wengi wazalendo wenye wivu na husuda kwa umoja wa taifa letu.Acheni kuwabeba hao washamba,wajinga wachache wenye tamaa ya fisi.
 
mimi ninavyojua watanzania wengi hawapendi upinzani,wananishangaza wanapoongeza fieldforce na janja zingine kama huko korogwe na kinondoni hata siwaelewi kabisa NEC.
 
Hii Nchi si Mlituambia Jakaya kaiharibu kabisa Sasa inakuaje Uncle aharibu kitu ambacho tayari Ni kibovu?
Bado ni walewale tu malaghai
mariastsehai-20180911-0001.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom